hapa ni ufukwe wa hoteli ya kunduchi jijini dar jumamosi saa za magharibi
mhudumu akiwahisha oda


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Umei-edit picha kwa kuchanganya rangi..ukazidisha tu ukijani.
    Wacha kudanganya watu bwana, ungeacha natural color tu ingetosha

    ReplyDelete
  2. ebwana eeeehh kunavutiaa kishenzi yaani.usiku unakula ma full upepo wa bahari!hii paradizo ya ardhini!

    mdau kigali makazi boxinki

    ReplyDelete
  3. Now this is twasira.....
    sometimes i used to ask myself why michuzi is so popular while his photo are just normal (Ok)... but something like this is what shows one's talent...

    ReplyDelete
  4. Duuh, iyo cali yaan! Cwa hiyo mkuu unataka kutueleza cuwa kila Jumamosi huwa mandhari inakuwa hivyo? Wacha kuchapia bwana, hata ikinyesha mvua iyo seemu inabaki ivyo ivo?

    ReplyDelete
  5. Duh! Kwa hiyo mida hii ndiyo poa kwenda kupunzika maeneo haya maana sioni vibaka wakikatiza au kulikuwa na baridi?

    ReplyDelete
  6. KWELI HAMAA MJANJA KACHANGANYA MADAWA YA RANGI...INGEKUWA NIMEZALIWA MIAKA SABA NYUMA NINGESEMA BOMBA...HAKUNA MBALAMWEZI INAYOOWEZA KUNG'ARISHA CHINI KAMA INAVYOONEKANA. LABDA UENDE KWENYE JANGWA....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...