Makama wa Rais wa TPN Mzalendo Phares Magesa (Kulia), akikabidhi misaada ambayo imekusanywa na TPN na Wadau wake kwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Msalaba Mwekundu Bw. Peter Mlebusi. Misaada iliyotolewa ni pamoja na: Ndoo 20, Magodoro 25, Sabuni Cartoon 10, Vyandarua 15, Mablanketi 20 vyote vikiwa na thamani ya TZS 1,113,700.00. Pia kulikuwa na misaada ya vitu mbalimbali kama nguo nyingi sana, viatu, vyombo vya nyumbani vyote vikiwa mizigo kama 20 vikiwa na thamani ya TZS 2.9M.
Picha ya Pamoja ya Wadau wa Red Cross na TPN. Vifaa vyote vilivyokabidhiwa vina thamani ya TZS 4,013,700.00

No Retreat. No Surrender. Until the job is done. Kutoka Kushoto. Mzalendo Jackson Mayunga Mjumbe wa Kamati ya Utendaji na Mkuu wa Kitengo cha Teknohama TPN, President Mz. Sanctus Mtsimbe and Vice-President Mz. Phares Magesa.
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Msalaba Mwekundu Bw. Peter Mlebusi akiangalia misaada mablimabli iliyotolewa. Hii ni awamu ya tatu ya misaada toka ianze kutolewa ambayo kwa sasa imefikisha TZS Million 11.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...