Babu Seya, Papii Kocha, Nguza Mbangu na Francis Nguza wakisikiliza kesi yao mwaka jana.
Mahakama ya Rufaa Tanzania baadaye leo inatarajiwa kusoma uamuzi kuhusu rufaa ya mwanamuziki huyo maarufu na hao wanawe watatu...


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. ankal tujuze basi mbona nasikia wameshaachiwa hebu tupe taarifa zikiwa bado motomoto

    ReplyDelete
  2. cooked case,

    shame on the one who cooked this shit!

    ReplyDelete
  3. nchi hii inaenda wapi si sawa wala si haki walitakiwa waachiwe wote shame on this hakimu, na team yake yote tena, tulitakiwa kufanya migomo wala hata kura tusipige sio sawa nasema tena sio sawa media mtusaidie kuwatetea hawa watu haiwezekani wawili wawe not guilty na wengine guilty why????????????????? michuzi help us naongea kwa niaba ya wote.. MICHUZI TUNAOMBA MTUSAIDIE...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...