African Nite is pleased to Invite you
Saturday, Feb 13
All are welcome
Doors Open at 8pm-2am, Cover $10
Charlie's Pub,

14 cabot st,
lowell,
MA
Cash-Bar, free bites all night

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hii ni habari njema ila nasikitika wanaoweka tangazo kama hili wanashindwa kufikiria kwa upana zaidi.

    Kwa mfano umesema JINA la PUB na kile ambacho wateja wnawezakupata...lakini mbona husemi IKOWAPI? Yaani unaamini wote wanajuwa PUb yako ilipo? Fikiria kuna mtu amesoma akiwa UK na anataka aje wikend au amwelekekeze ndugu yake aje kuburudika hapo...atajua ipo upande gani? Barabara gani nk?

    Cheers, Think globally act locally. Ni maoni tu...

    ReplyDelete
  2. wewe hapo juu ni boya kabisa sijui mtu wawapi uko bongo nini mahana bongo hakuna adress katika nyumba mbona hapo katika tangazo kuna adress,charles pub 14 cabot st,lowell,ma 01854 na kuna website,mshamba wewe tembea uone hacha kukaa sijui shinyanga mahana ungekuwa bongo ungejua kitu gani kimeandikwa boya wewe utakula vumbi hadi koo liote ukurutu na bado mla vumbi wewe MLA VUMBI WEWE

    ReplyDelete
  3. anon feb 11,10:36 am
    labda tunasoma tangazo tofauti,ila mimi naona address na nijuavyo ukipa address inakufikisha unapotaka kwenda huko majuu
    address ni hii
    14 cobat st
    lowell,
    MA

    sijawahi kufika ila nafikiri NEW ENGLAND iko USA
    na hio MA nafikiri ni kifupi cha MASSACHUSETTS STATE

    ReplyDelete
  4. Sasa mtu mbaya hapa ni sijui ni huyu EDITOR wa hizi responses....mbona mambo ya muhimu saa nyingine una edit na kublock. Na upuuzi wa huyu anayeuliza address umeweka...au kaka Michu unataka ugomvi hapa.....much love bro ....ni utani tu minasema. Ila duh huyo jamaa aliyeuliza street address....nenda kajinunulie "American Address for Dumb-ass" ha ha ha - Mdau NYC.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...