wadau wa OnePlus Communications walioandaa shughuli ya uzinduzi wa Kilimanjaro Tanzania Music Awards
supa staa AY akiwa na wadau wa vipindi vya muziki vya TBC1
ankal alibahatika kukutana beneti na mdau Fred Fidelis 'Fredwaa' wa Radio Free Africa ya Mwanza ambaye pia alikuwepo kwenye hafla hii. Ikumbukwe Fredwaa amekuwa mtangazaji bora wa kanda ya ziwa mara tano mfululizo kutokana na umahiri wake wa kuendesha kipindi hususan kuchambua bolingo na ngai za Kongo. Uko juu kaka Fredwaaa..



namzimia saaaaana abubakar sadiq huwa anaongea kama anabembeleza redio wani wee mko juuuuu
ReplyDeletefredwaa na wewe mashallah hadi raha hongereni kwa hizo talent Mungu alizowatunuku
ReplyDeleteEbwanaeeeee, kumbe Milad Ayo kaenda hewani kinoma, ajaribu kucheza basketball, kibongobongo atasumbua!
ReplyDeletenguo nyeusi mnaroga? not nice need friendly colours, brings more flavour
ReplyDeleteKWANZA SHIKAMOO BRO MICHUZI, MIMI NAPENDEKEZA KWAMBA TUWE TUNAFANYA BIRTHDAY YA THE FULANAZZ, KWA MFANO THE FULANAZZ IMETIMIZA MIAKA 7 AU 8.NA KEKI KUUUBWA YA LIVERPOOL.
ReplyDeleteOOOHHH Zama!!!!Whats going on girl? Looking good looking good as always. Will see u soon.
ReplyDeletei can see ze bahashaz, ankal yako iko wapi? kuna yale mambo yetu humo ehhhh.
ReplyDeleteAise Ankali,
ReplyDeleteUmenikumbusha sana kummona huyo Dj "Freduwaa". huyu jamaa ametoka mbali sana. nilikuwa nakata naye shule kule Old Moshi na ndipo jina lake la "Freduwaa" lilipozaliwa miaka ya 1994-96. enzi hizo kila mtu alikuwa anarekebisha jina lake liwe la ki-Marekani au Kisupa star hivi...Huyu akaamua kujiita Freduwaa na wote tukalikubali...nakumbuka kundi lake lilikuwa linaitwa "City Boyz"...alipenda sana Muziki na madisco na nakumbuka alikuwa pia ni mtu aliyezindua ule usemi wa radio clouds wa "mwaga nyuki" maana enzi hizo alipokuwa shuleni aliwapenda sana "Chris Cross"na wapiga hip hop wengine na kwenye yale madisco ya mashuleni alikuwa nacheza hizo hip hop kwa kusema mwaga nyuki kuku akiwa amevaa sweta lenye kofia maarufu kama "OPP"...kaka michuzi huyu DJ namkubali sana na ni jamaa ambaye ametoka mbali. alishanusurika kufukuzwa shule kwa ajili ya madisco enzi hizo yeye na jamaa zake.nampa hongera DJ Freduawaa.shukrani Anko Ze-Tishirt kwa kutuletea habari zake.
Upendoo,swiry mzima am happy to see u,nakuona mwaya u real look good!missin u,tkcr.
ReplyDeleteheee kumbe ndo nyie???????aiseee
ReplyDeletezaidi ya ze fulanazzz apo
teh teh
ankal,imebidi niangalie mara mbili mbili,hivi hizo fulana zako una dozen ama?? maana mmmh sijaelewa bado
ReplyDeletemdau hapo juu ati ze fulana iwe inafanyiwa besdei nimecheka najikojolea hukuuu! kweli hii blogu ni dawa ya stress kuchekaaa kwa wingi
ReplyDelete