Meneja wa promosheni wa Tigo Redemptus Masanja (shoto) akimkabidhi kitita cha shilingi milioni moja Bw. Imani Kayange wa Kiwalani Rumo kama zawadi yake ya Tigo Bwerere leo jijini Dar, huku meneja uhusiano Jackson Mmbando akipiga chabo katikati.

Tigo leo imekabidhi zawadi kwa washindi wa promosheni ya Tigo bwerere iliyoanza mapema January 2010

Akizungumza na waandishi wa habari Afisa Uhusiano wa Tigo Jackson Mmbando kasema Tigo bwerere inaendelea kufurahisha na kuwatimizia baadhi ya watanzania malengo yao kimaisha kwa kuwapatia zawadi bwerere na zenye manufaa kwao

Leo tunakabidhi zawadi kwa washindi wawili wote wa mkoa wa dar es salaam ambao ni Mariana Amos mkazi wa Gongolamboto, Imani Kayange mkazi wa Kiwalani Rumo

Promosheni hii ya Zawadi BWERERE inatoa nafasi kwa kila mteja wa Tigo

Kama unabisha au hauamini jaribu kushiriki sasa na utahakikisha mwenyewe kuwa ukiwa na Tigo kushinda ni lazima!

Kama unataka zawadi kabambe kupitia promosheni ya Tigo ZAWADI BWERERE sasa tuma neno BWERERE kwenda 15570 ujipatie zawadi yako sasaivi

Kila SMS unayotuma lazima utapata zawadi mojawapo kati ya zifuatazo.

Pesa taslim shilingi milioni moja muda wa maongezi bwerere dakika 3, 5 au 10 (kuongea simu za Tigo kwenda Tigo) au MS za bure 5

Gharama ya kila SMS ni sh 360 tu. mteja anaweza akashiriki maranyingi awezavyo ili kujipatia zawadi nyingi zaidi.

Pia tunaendelea kuwakumbusha wateja kushiriki promosheni zetu nyingine mfano ile ya wapenda soka (SHANGWE KISPOTI), sasa unaweza kuibuka mshindi wa jezi mpya ya timu uipendayo

unaweza akajishindia jezi ya Manchester Utd, Chelsea, Arsenal au Liverpool? yenye jina utakalo na namba utakayochagua mwenyewe

Ili kushiriki na ushinde tuma neno JEZI kwenda 15519 kisha utapata maelekezo ya kujichagulia timu unayotaka kujibu maswali yake. kila unapojibu swali kwa kwa usahihi ndio unapata point na ukifikisha point 6000 unaibuka mshindi wa JEZI ORIGINAL ya timu uipendayo.

Gharama ya kila SMS utakayorudisha jubu ni shilingi 200 tu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...