Wafanyakazi wa Benki ya NBC wakiwa nje ya benki hiyo baada ya kuwepo kwa taarifa za kuungua moto kwa jengo hilo leo mchana. Hata hivyo kwa mujibu wa askari wa zimamoto waliofika katika tukio hilo walisema kuwa hali ilikuwa shwari na wafanyakazi wameruhusiwa kuendelea na kazi kama kawaida baada ya kulikagua jengo hilo.
Baada ya hali kuwa swali wafanyakazi wa benki hiyo waliamua kujitosa katika mashine za ATM zilizopo nje ya benki hiyo kwa ajili ya kuangalia akiba zao.

Gari la zimamoto likiwa tayari kwa ajili ya kukabiliana na tukio la moto katika jengo la benki ya NBC, leo. Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. HII BANK NASIKIA KUNA UNDERGROUND INATOKEA MPAKA HUKU JUU YA HIYO BUSTANI HAPO JE NI KWELI? TUFANYIE UCHUNGUZI MICHUZI.

    ReplyDelete
  2. pesa hizo zimeondoka. mafisadi washa choma ushahidi moto. mamillioni yameshapotea hahahaha

    ReplyDelete
  3. NI KWELI MIMI NIMEFANYA KAZI HAPO KWA MIAKA 14, IPO HAPO CHINI INATUMIKA KAMA STRONGROOM LAKI HAINA OUTLET HUKO NJE BUSTANINI HIYO SI KWELI NI KWAMBA KUNA VYUMBA TU HUKO CHI HATA LORRY LINAINGIA HUKO CHINI PENGINE HADI HAPO BARABARANI MBELE HAPO.

    ReplyDelete
  4. Asante Mdau kwa kunijibu nilikuwa nataka kujuwa. hahaha msije kufikiri nafanya mbinu za wizi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...