Wakili upande wa utetezi Mh. Mabere Marando,
akiwapongeza watoto wa Babu Seya walioachiliwa
huru siku rufaa yao iliposikilizwa

Watoto wa Babu Seya, Nguza Mbangu na Francis, ambao wiki iliyopita waliachiliwa huru na mahakama ya rufaa nchini Tanzania katika kesi ya ubakaji wamezungumza na Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika -VOA - na kueleza masikitiko yao ya kufungwa bila makosa, maisha yao gerezani, jinsi walivyopokelewa baada ya kutoka gerezani na matumaini ya hatimaye kuachiwa kwa baba yao Nguza Viking na kaka yao Papii Kocha.


Kusikiliza mahojiano hayo telembelea
www.voanews.com/swahili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Tanzania imezidi kuwa nchi ya mauza uza, yani mtu akijisikia kunyanyasa mwenzie kwa kuwa yeye ana nafasi fulani basi anafanya, nyie mnaotumia madaraka kumbukeni hapa duniani mtanyanyasa wengine ila ahera mtalipiwa, how comes watu wakae jela miaka zaidi ya 3 leo ndo mnawaona hawana makosa??? uonevu mpaka lini, kodi zetu mzile na bado mtunyanyase walala hoi. it hurts kwa kweli.

    ReplyDelete
  2. MSIWAFANYISHE INTERVIEWS ZA BURE TU MNATAKIWA KUWALIPA PESA HIZO INTERVIEWS, PIA NAWASHAURI WAMTAFUTA PUBLIC RELATION MANAGER WAO ATAKAYE HANDLE MASWALA YAO IKIWA PAMOJA NA HIZI INTERVIEWS NA MADAI YAO YA KUFUNGWA BILA MAKOSA NA KUDAI FIDIA ZAO WALIZO KAA NDANI, WANASTAHILI KULIPWA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...