Wachezaji wa Yanga wakishangilia ushindi wa timu yao dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom uwanja wa Uhuru jijini Dar leo. Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 3-1.
Shaaban Nditi wa Yanga akipambana na mlinzi wa Mtibwa Sugar

Stephen Bengo wa Yanga akimtoka beki wa Mtibwa Sugar Chacha Marwa
Kipa wa Mtibwa Sugar akiokoa moja ya hatari langoni pake




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. MDAU WA ELIMUFebruary 08, 2010

    Baada ya kulizwa na Matokeo ya kidato cha nne.Yanga inanipa raha.
    asante yanga kwa ushindi Mzuri wa leo.

    ReplyDelete
  2. Ankal sie yanga hatuna mchezaji anayeitwa shaban nditi,nafikiri maelezo ya picha yangekua "shaban nditi wa mtibwa akipambana na beki wa yanga"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...