Wachezaji wa Yanga wakishangilia moja ya mabao yao 6 waliyowafunga Toto Africa ya Mwanza katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya Vodacom uwanja wa Uhuru jijini Dar leo
Jerryson Tegete wa YAnga akijaribu kumuhadaaa Tete Kang'anga wa Toto Africa. Chini Shamte Ali akijaribu kumtoka beki wa Toto Africa Juma Abdul
Jerryson Tegete wa YAnga akijaribu kumuhadaaa Tete Kang'anga wa Toto Africa. Chini Shamte Ali akijaribu kumtoka beki wa Toto Africa Juma Abdul
Kipa wa Toto, Hussein Katandula akiwa chini huku ,sha,uliaji wa Yanga, Boniface Ambani akiwania mpira.
Ushindi Mzuri sana ila Jamani tulikuwa wapi raundi ya kwanza?ona sasa Simba washatuzidi na kuwafikia!! sijiu!!
ReplyDeleteMwana Yanga halisi India.
Watani zangu wa jadi mbona zikija mechi za kimataifa hamuyafanyi haya mauaji?
ReplyDeletePole sana Mwana Yanga halisi,ndio imeshakula kwako na Yanga yako.Ni kweli kama ulivyosema Yanga kuifikia Simba kwa mwaka huu ni ndoto,labda mwakani ila kwa mwaka huu sahau kabisa.Kumbuka kuwa mpaka sasa Lunyasi tunahitaji pointi sita tu kujitangazia ubingwa mapemaaaaa!!!,we baki tu uking'aaa macho.Kwaheriiii!!!.Mwana Simba halisi India.
ReplyDeleteHiyo ndiyo Dar Young Africans. Swaafi sana. Yanga Yanga Yanga!!!
ReplyDeleteduuu chama langu lazima livunje record ya walugaluga tutashinda mechi zote...
ReplyDeletejamani mbona tuko nyuma sana , yanga hii mechi yangi inacheza hapo dar sija wahi kuona hii dunia kote bora turudi kukule vituo,na sita bora sikutane dar, TENGA UMEKUA KAMA HUKUCHEZA MPIRA PROGRAM YAKO MBOVU NA AMKA ULIPO LALA MPIRA NI SAYANSI SIO UMAARUFU
ReplyDeletekuku wako mwenyewe unamshikia manati!!!!. Toto waliambiwa mapema kwamba undugu wake na yanga ndio utamteremsha daraja.
ReplyDelete,,,,ivi kwanini wanaume wanasuka mabutu kama haya(sorry nywele) sana siku izi???,,,
ReplyDeletewake zenu wanyoe?