


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankali si mchezo huko pia kuna rambo duu
ReplyDeleteMzee ukitoka bongo kwenda nchi nyingine ni lazima uisake manzese ya huko,amakweli wabongo tunapenda vitu vya dezodezo ndio maana wachina wanatuletea bizaa feki.
ReplyDeleteMichu kwa hiyo rangi ya hiyo mifuko ndio nimejua kua mtu wa uswazi
ReplyDeletefanya shopping baba hadi ushindwe kubeba hizo rambo ila babake siku ya kurudi pale eapot yetu wasije wakabeba tu zawadi za waif halafu ununue na ze fulanaz nyingine kama hiyo unayowakilisha nayo kila kukicha bila kusahau kununua uzi wa man uuu oopss wa bwawa la mtera!
ReplyDeleteJamani peter nalitolea wa chuo kikuu cha mzumbe university ya kule mologolo umeishia wapiiiii? huonekani libenekeni kulikoni?? au wachukua masters! tunamisi vimbwanga vyko duuh!
ReplyDeleteusisahau kununua za fulanas nyingine, kwani hukuchukua nyingine???? hiyo tumechoka nayo. waifu fungia hiyo fulana sasa.
ReplyDeletemzee wa libeneke aka ankal,au mkuu wa nanihii na mambo ya manihii
ReplyDeletempenzi hope unakumbuka wajibu wako kwangu,,,
ReplyDeletelaaa sivo....!
im waiting
Ankal hiyo ndo mitaa ya machinga wa Uk-erewe? Naona imefanania na mitaa ya kariakoo!
ReplyDeleteMICHUZI HUJATUFAFANULIA KWANI MAJENGO YANAONYESHA LONDON NI MJI MKONGWE ULIOSHEHENI MAJENGO YENYE UMRI ZAIDI YA KARNE, WALAI JUNGU KUU HALIKOSI UKOKO.
ReplyDeleteLABDA UNGETUAMBIA HAPO NI PLEA-MARKET KWANI SIONI DALILI ZA HADHI YA MALL. PLEA MARKET NDO PO POTE BEI ZA VIWANDANI.
WANAKUSUBIRI BONGO KWANI TOKA UKEREWE WANAJUA UMECHOMOA VYA KUVUKIA BAHARI NA BARA LA JANGWA LA SAHARA. BINAMU YANGU ATAKUPOKEA JKN AIRPORT AKUKSAIDIE KUCHUKUA HIZO RAMBO
Khaah!
ReplyDeleteKumbe huko nako kuna SAGULA SAGULA?
Me nilidhani wazungu wote matajiri!
Mweeh!
we mdau wa pili wa 7;00 PM
ReplyDeleteYani umenishangaza wewe kichizi basi kama unamuona michuzi kakosea kwenda shopping katika mitaa hii wakati uwezo wake ndo wakwenda hapo basi kwa ninii usimpeleke wewe shopping katika ma malls na maduka ya bei mbaya, mbona domo kaya tuu towa basi pesa zako umpige shopping zake zote zanguvu na tutakujua kweli wewe kidume kipevu pevu,other wise choka tu comment zako.
mijitu minginew bwana kazi kupepeta midomo kama mademu hawa action zozote zile
big up my man michuzi na nakufagilia kichizi kwa sababu unatupa ukweli wa mambo ya life za huko majuu na tunatoka na ujinga wa kudhani kila kitu poa ulaya kumbe kama karikoo to na manzesee
haya twende sasa tupeleke huko readings kwa wasukutuaji!! hakikisha umeenda huko usirudi bila kwenda makwao manake hizi mtu zinajua kuchonga sana twende hadi viwanja vyao vya kujidai
ReplyDeleteankal anafanya shopping ya nguvu! yani yuko ZONE ONE, kufika hapo sio mchezo ni lazima ulipie congestion charge ya £5 yani shiling 12000 kuwepo mahali hapo, parking ya gari ni £13 kwa saa yani 30000 hapo bado kula na mishopingi yenyewe. chupa la maji lenyewe kama la uhai ni £7 yani 16000 lakini ankal anabeba mifuko mizito, alafu mnataka kuleta zenu. kura maisha bwana ankal! waafrica wengine wanaoishi hapo wanapaona kama kitu cha polisi. utakuta mtu yuko ukerewe miaka kumi ukimuuliza liverpool street wapi anpatwa na kigugumizi! acheni nanihii afanye mininihii! mdau toka bujumbura
ReplyDeleteyaani ankal na ujanja wako wote umeenda market kuchagua sagula sagula yaani watu wa london hawajakuonyesha hata duka la bei poa,siku nyingine ukija ulizia primark au unabania pesa za ubalozi ukale supu ya makongoro kwetu bar na washkaji?
ReplyDeleteTATIZO NI KWAMBA ASKARI WA JIJI HAWAPITI HUMU KWENYE LIBENEKE WANGEONA UMACHINGA NI KOTE HADI KWAMALKIA WASIWASUMBUE WAMACHINGA WETU
ReplyDeleteBADALA YA KUPAMBANA NA MATEJA KUTWA WANAKOMAA NA MACHINGA NA MAMA NTILIE
ankal umefulia?? yaani unaenda Sunday Market badala ya kwenda Mall. hebu jitupe Westfield Shopping Centre ujionee kama sio kujinunulia pamba za kufa mtu. kule hakuna cha rambo ni mwendo wa designer carrier bags.. Sunday market waachie waturuki..lol
ReplyDeleteAhaaaaaaaaaa,Kumbe na uko Tambarare,Mithupu,za fulana unawaumbua wabeba box wa huko maana wakipiga picha wanapiga kwenye majengo ya maana,du sina ndoto za kwenda huko tena du kumbe Tambarare kiasi hicho!!! Ahaaaaaaaaaaa..lol
ReplyDeleteSitoki Tanzania.Nabaki..Dar-es-salaam
shoping mtaa wa liverpool street siyo? Ankaaal, umechemuka hapo, SORRY BUT
ReplyDelete