ankal akiwa amebeba rambo zilizosheheni bidhaa mitaa ya liverpool street jijini Lonon. anasema huku summer time ndio imeanza rasmi jana na kwa sasa utofauti wa masaa na bongo ni mawili na sio matatu tena. yaani huku kiwinta kinayoyoma na usiku unakuwa mfupi ile mbaya
ankal akijiuliza akatize wapi maana keshapotea mahesabu...
hapa watu toka sehmu mbalimbali hufika kufanya shopingi kila siku za jumapili ambapo pamoja na vitu kuwa kibao pia bei yake ni ya kiwandani japo ubora ni uleule. hapa unaweza kuondoka na saa kilo moja kwa teni
chagulaga mpende mwanao ni ila sehemu duniani
watu ni kibao
wapenzi wa soka wana pao pia
hela yako tu, kila kitu kipo hapa mtaa wa liverpool street







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Ankali si mchezo huko pia kuna rambo duu

    ReplyDelete
  2. Mzee ukitoka bongo kwenda nchi nyingine ni lazima uisake manzese ya huko,amakweli wabongo tunapenda vitu vya dezodezo ndio maana wachina wanatuletea bizaa feki.

    ReplyDelete
  3. Michu kwa hiyo rangi ya hiyo mifuko ndio nimejua kua mtu wa uswazi

    ReplyDelete
  4. fanya shopping baba hadi ushindwe kubeba hizo rambo ila babake siku ya kurudi pale eapot yetu wasije wakabeba tu zawadi za waif halafu ununue na ze fulanaz nyingine kama hiyo unayowakilisha nayo kila kukicha bila kusahau kununua uzi wa man uuu oopss wa bwawa la mtera!

    ReplyDelete
  5. Jamani peter nalitolea wa chuo kikuu cha mzumbe university ya kule mologolo umeishia wapiiiii? huonekani libenekeni kulikoni?? au wachukua masters! tunamisi vimbwanga vyko duuh!

    ReplyDelete
  6. usisahau kununua za fulanas nyingine, kwani hukuchukua nyingine???? hiyo tumechoka nayo. waifu fungia hiyo fulana sasa.

    ReplyDelete
  7. mzee wa libeneke aka ankal,au mkuu wa nanihii na mambo ya manihii

    ReplyDelete
  8. mpenzi hope unakumbuka wajibu wako kwangu,,,
    laaa sivo....!

    im waiting

    ReplyDelete
  9. Ankal hiyo ndo mitaa ya machinga wa Uk-erewe? Naona imefanania na mitaa ya kariakoo!

    ReplyDelete
  10. Candid ScopeMarch 29, 2010

    MICHUZI HUJATUFAFANULIA KWANI MAJENGO YANAONYESHA LONDON NI MJI MKONGWE ULIOSHEHENI MAJENGO YENYE UMRI ZAIDI YA KARNE, WALAI JUNGU KUU HALIKOSI UKOKO.

    LABDA UNGETUAMBIA HAPO NI PLEA-MARKET KWANI SIONI DALILI ZA HADHI YA MALL. PLEA MARKET NDO PO POTE BEI ZA VIWANDANI.

    WANAKUSUBIRI BONGO KWANI TOKA UKEREWE WANAJUA UMECHOMOA VYA KUVUKIA BAHARI NA BARA LA JANGWA LA SAHARA. BINAMU YANGU ATAKUPOKEA JKN AIRPORT AKUKSAIDIE KUCHUKUA HIZO RAMBO

    ReplyDelete
  11. Khaah!

    Kumbe huko nako kuna SAGULA SAGULA?
    Me nilidhani wazungu wote matajiri!

    Mweeh!

    ReplyDelete
  12. we mdau wa pili wa 7;00 PM
    Yani umenishangaza wewe kichizi basi kama unamuona michuzi kakosea kwenda shopping katika mitaa hii wakati uwezo wake ndo wakwenda hapo basi kwa ninii usimpeleke wewe shopping katika ma malls na maduka ya bei mbaya, mbona domo kaya tuu towa basi pesa zako umpige shopping zake zote zanguvu na tutakujua kweli wewe kidume kipevu pevu,other wise choka tu comment zako.

    mijitu minginew bwana kazi kupepeta midomo kama mademu hawa action zozote zile

    big up my man michuzi na nakufagilia kichizi kwa sababu unatupa ukweli wa mambo ya life za huko majuu na tunatoka na ujinga wa kudhani kila kitu poa ulaya kumbe kama karikoo to na manzesee

    ReplyDelete
  13. haya twende sasa tupeleke huko readings kwa wasukutuaji!! hakikisha umeenda huko usirudi bila kwenda makwao manake hizi mtu zinajua kuchonga sana twende hadi viwanja vyao vya kujidai

    ReplyDelete
  14. ankal anafanya shopping ya nguvu! yani yuko ZONE ONE, kufika hapo sio mchezo ni lazima ulipie congestion charge ya £5 yani shiling 12000 kuwepo mahali hapo, parking ya gari ni £13 kwa saa yani 30000 hapo bado kula na mishopingi yenyewe. chupa la maji lenyewe kama la uhai ni £7 yani 16000 lakini ankal anabeba mifuko mizito, alafu mnataka kuleta zenu. kura maisha bwana ankal! waafrica wengine wanaoishi hapo wanapaona kama kitu cha polisi. utakuta mtu yuko ukerewe miaka kumi ukimuuliza liverpool street wapi anpatwa na kigugumizi! acheni nanihii afanye mininihii! mdau toka bujumbura

    ReplyDelete
  15. yaani ankal na ujanja wako wote umeenda market kuchagua sagula sagula yaani watu wa london hawajakuonyesha hata duka la bei poa,siku nyingine ukija ulizia primark au unabania pesa za ubalozi ukale supu ya makongoro kwetu bar na washkaji?

    ReplyDelete
  16. TATIZO NI KWAMBA ASKARI WA JIJI HAWAPITI HUMU KWENYE LIBENEKE WANGEONA UMACHINGA NI KOTE HADI KWAMALKIA WASIWASUMBUE WAMACHINGA WETU
    BADALA YA KUPAMBANA NA MATEJA KUTWA WANAKOMAA NA MACHINGA NA MAMA NTILIE

    ReplyDelete
  17. ankal umefulia?? yaani unaenda Sunday Market badala ya kwenda Mall. hebu jitupe Westfield Shopping Centre ujionee kama sio kujinunulia pamba za kufa mtu. kule hakuna cha rambo ni mwendo wa designer carrier bags.. Sunday market waachie waturuki..lol

    ReplyDelete
  18. Ahaaaaaaaaaa,Kumbe na uko Tambarare,Mithupu,za fulana unawaumbua wabeba box wa huko maana wakipiga picha wanapiga kwenye majengo ya maana,du sina ndoto za kwenda huko tena du kumbe Tambarare kiasi hicho!!! Ahaaaaaaaaaaa..lol

    Sitoki Tanzania.Nabaki..Dar-es-salaam

    ReplyDelete
  19. shoping mtaa wa liverpool street siyo? Ankaaal, umechemuka hapo, SORRY BUT

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...