mwimbaji gwiji wa kilimanjaro band mabrouk omar a.k.a babu njenje akiwajibika usiku huu na bendi yake kwenye ukumbi wa 'manyoya' wa salender bridge club, akiwa fiti kabisa baada ya dhahama ya kuteguka mguu wake wa kushoto alipoteleza jukwaani wiki iliyopita. babu njenje kaiambia Globu ya Jamii kwamba maumivu ya enka aliyopata yametuama na kwamba kazi inaendelea kama kawa na mashabik wa njneje wasiwe na wasi
babu njenje akipiga mzigo kama kawaida yake usiku wa leo


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. babu njenje karibu hapo ulikuwa unaimba hupandi gari la punda hapandi
    Karibu tena babu njenje

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...