Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. michuzi ugomvi wetu bwana bado chaja ya kobe

    ReplyDelete
  2. jamani bibi yetu tunakupenda sana , utatembelea lini stockholm ? mungu azidi kukupa maisha marefu bibi yetu .

    ReplyDelete
  3. BIBI KIDUDE AKIWA NA MIAKA ISIYOPUNGUA 90 NA NI KATI YA WASANII WA KWANZA KUTOKA AFRIKA KUWEZA KUFANYA RECORD ZAKE NJE YA NCHI KAMA GERMANY INDIA.

    BIBI KIDUDE MUNGU AKUZIDISHIE UMRI NA AFYA NJEMA AMEEN

    JE WANA JAMII NINI TUNAJIFUNZA KUPITIA KWA BIBI KIDUDE?????

    WASANII WA SIKU HIZI HASA WAIMBAJI UTAWASIKIA MIAKA 2 WAMEZIMIKA WENGINE MWAKA TU

    ANGALIA HUYU BIBI TOKEA UJANA WAKE MPAKA SASA BADO ANAFANYA BURUDISHO KWA JAMII

    BIG UP BIBI KIDUDE....GOD BLESS U.

    ankal sijakuona kwenye kumtunza bibi kidude hahaha

    mdau wa mahakama kuu ya dunia.

    ReplyDelete
  4. Huyu bibi ni noma

    ReplyDelete
  5. mashaallah ananguvu sana lakini hope anatumia nguvu zake zilizobaki kwenye msala zaidi kuliko jukwaani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...