Home
Unlabelled
Bi Kidude live in action in dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi ugomvi wetu bwana bado chaja ya kobe
ReplyDeletejamani bibi yetu tunakupenda sana , utatembelea lini stockholm ? mungu azidi kukupa maisha marefu bibi yetu .
ReplyDeleteBIBI KIDUDE AKIWA NA MIAKA ISIYOPUNGUA 90 NA NI KATI YA WASANII WA KWANZA KUTOKA AFRIKA KUWEZA KUFANYA RECORD ZAKE NJE YA NCHI KAMA GERMANY INDIA.
ReplyDeleteBIBI KIDUDE MUNGU AKUZIDISHIE UMRI NA AFYA NJEMA AMEEN
JE WANA JAMII NINI TUNAJIFUNZA KUPITIA KWA BIBI KIDUDE?????
WASANII WA SIKU HIZI HASA WAIMBAJI UTAWASIKIA MIAKA 2 WAMEZIMIKA WENGINE MWAKA TU
ANGALIA HUYU BIBI TOKEA UJANA WAKE MPAKA SASA BADO ANAFANYA BURUDISHO KWA JAMII
BIG UP BIBI KIDUDE....GOD BLESS U.
ankal sijakuona kwenye kumtunza bibi kidude hahaha
mdau wa mahakama kuu ya dunia.
Huyu bibi ni noma
ReplyDeletemashaallah ananguvu sana lakini hope anatumia nguvu zake zilizobaki kwenye msala zaidi kuliko jukwaani.
ReplyDelete