Ankal mkuu wa wilaya ya nani hii.
leo katika pita pita zangu nilikutana na bibi Zhang Ruifang katika kijiji cha Linlou huko China. Huyu ni bibi wa ajabu kwani ana pembe moja kubwa kwenye paji lake na ingine inaanza kuchomoza kama jua la asubuhi juu ya jicho lake la kulia.
Bibi Zhang anafanya kazi zake za nyumbani kama kawaida japo ana umri wa miaka 101. Bibi huyu anapendwa sana na ndugu zake wote wa karibu na ana marafiki zake wengi na wanamjali sana safi sana. Swali ankali kwa wadau, Je kule nyumbani bibi hivi haswa mikoani wanamchukuliaje?jirani ndugu jamaa na marafiki watampa upendo wa karibu kama bibi yetu Zhang Ruifang?
Mdau wa Iceland

Yote tisa ila hiyo nyumba yake bongo nafuu. Nimegundua kwa nini UN wanaigroup China kama third world country.
ReplyDeletewewe acha hizo hata marekeni majuzi kipindi cha tsunami vijijini nyumba za mambazi chakavu tumeziona maisha ya tabu kabisa mpaka Mr Kichaka akapiga marufuku kupiga picha uko akafukuza waandishi wa habari akuna nchi ambayo nchi ni bora kivile sio, kwa bibi(Uk) majengo yake karibu yote ni machakavu ukilinganisha na nchi nyingine za ulaya lakini bei kubwa kiliko haya matatizo yapo kokote ila wathungu hawapendi shida za kwao kuanikwa hadharani. Usa watu wanajiua kwa kuwa maisha mgumu lakini ingekuwa ni africa ungesikia utawala mabaya kwa nini watu wajiue lakini, wao ndio hivyo tena bepari ni bepari watch out my friend
ReplyDeleteJIBU SAHIHI WANALO WASUKUMA.
ReplyDeletenenda shinyanga ukafanye research kwa kuwauliza hilo swali lako wanashinyanga tena ana pembe huo ni ushahidi tosha kuliko ule wa macho mekundu
ReplyDeleteNONDO
hivi u guys mnao comment kuhusu hiyo nyumba...hamjaona hilo pembe na kuchaa za huyo bibi..ama hiyo nyumba is more shocking than the bibi?nway ya mungu makubwa ajabu lakini yanawezekana...tho on the other hand she looks evil(JUST THE LOOK)
ReplyDeleteDuh! Kama ana marafiki wanaomjali SANA kwa nini wasimkate hizo kucha ambazo ukijumlisha na pembe unapata tishio?
ReplyDeleteKama siamini vile... let me google
Wewe mdau wa Iceland, ulipita mtaani kwa bibi Zhang au ulipita kwenye website - manake picha za huyo bibi zipo tele kwenye website. Tumeona wenye mizizi mwili mzima "The tree men" of Indonesia kwahiyo hilo pembe wala si ajabu.
ReplyDelete