Kiongozi wa Twanga Pepeta Lwiza Mbuttu
(kulia) na wanenguaji mahiri wa bendi hiyo
waimbaji wa Twanga Chaaz Baba na Kalala Jr.

Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu, AFRICAN STARS ENTERTAINMENT tupenda kutumia fursa hii kuwaomba radhi wapenzi wetu kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

Ni kwamba kesho jumapili kwenye ile
"SUNDAY BONANZA"
Kiingilio kitakuwa sh 2000/= kwa kila mtu.

Tukiwa bado tupo kwenye maongezi na wadhamini wetu wakuu wa Bonanza hili, Ni matarajio yetu hali itarejea katika hali ya kawaida Katika wiki chache zijazo.

Karibu usugue kisigino na
TWANGA PEPETA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hii sasa ni hali ya TABIA NCHI haya tuone itakuwaje na zoezi hili.

    ReplyDelete
  2. Jamani wamama wa ktz wazuri sana. Tupeane anwani basi...kwani wengine hatujaoa tungependa kupata wapenzi hapa....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...