Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare akiwakabidhi msaada wa mashine maalum za kuchujia maji ya kunywa wawakilishi wa watoto yatima zaidi ya 900 kutoka vituo vya Arusha na Kilimanjaro katika makabidhiano yaliyofanyika juzi mjini Moshi ikiwa ni sehemu ya misaada ya kijamii inayotolewa na Taasisi ya Vodacom Foundation
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare akiwakabidhi msaada wa mafuta ya kupikia pamoja na mashine maalum za kuchujia maji ya kunywa wawakilishi wa watoto yatima zaidi ya 900 kutoka vituo vya Arusha na Kilimanjaro katika makabidhiano yaliyofanyika juzi mjini Moshi ikiwa ni sehemu ya misaada ya kijamii inayotolewa na Taasisi ya Vodacom Foundation
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare (kushoto) na Meneja wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule wakikabidhi misaada ya kibinadamu kwa yatima zaidi ya 900 kutoka vituo 36 vya mkoani Kilimanjaro na Arusha. Misaada hiyo ni sehemu ya misaada mbalimbali itolewayo na Vodacom Foundation.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare akipeana mkono na watoto yatima kutoka baadhi ya vituo vya kulelea watoto vya mjini Moshi juzi wakati Vodacom Foundation ikikabidhi misaada ya kibinadamu kwa yatima zaidi ya 900 kutoka vituo 36 vya mkoani Kilimanjaro na Arusha. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom, Ephraim Mafuru na Mkugenzi wa Kituo cha yatima cha Kili Kids cha mjini Moshi, Margaret Mponda









Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. misaada misaada ya niiiiiiiii.

    HAKUNA KTU NACHUKIA CHINI YA HILI JUA KAMA KUSAIDIWA £$%^&*()&)&u

    MISAADA NA NYIE WATU WA K'NJARO MMEKWISHA KUWA KAMA WATU WA C na C,

    ACHENI, HATA KAMA KAHAWA IMEKOSA SOKO, FIKIRINI YAPO MAMBO MENGI YA KUFANYA HASA UKIZINGATIA KUNABIASHARA NZURI NA WATANI ZETU (K) SIJASEMA COLGATE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...