Home
Unlabelled
CCJ chapata usajili wa muda leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hawa ni matapeli,wanatumia na wenye magazeti kupamba habari ili wauze magazeti.hamna kitu hapo.
ReplyDeletedr. shayo, john mashaka, mwanakijiji, mwamvita, january,ridhiwani na wengine wengi, maneno ndo hayo, njooni muiongoze nchi sasa, kwazi kwenu, chama cha vijana
ReplyDeleteCCJ
CCj
CCJ
vijana ureeee,,,,,, ufisadi zzzzzzz
matapeli hawa,wanatafuta ulaji tu,alafu anatokea mjinga kama mwanakijiji anawatetea.jamani vyama vya upinzani tz ni ajira ya kudumu ya watu,ccm wanalamba kivyao na upinzani kivyao.tz bado sana siasa za kweli,si mnaona zito alivyojaribu kupigania ukweli,mwenyekiti akataka kummaliza.bongo bado,kila mtu njaa kuliko mwenzake
ReplyDeleteJK tupitishie hiyo sheria mara moja ili tuweze kuwabana watu kama hawa,wanaibuka na kuteka akili za watz,na kuzidi kuficha ukweli na kudidimiza siasa.
ReplyDeleteyametimia ...
ReplyDeletekaka Michuzi, kwa nini huyu jamaa unamwita Mheshimiwa. He is not Mheshimiwa labda kama ni jaji, mbunge au balozi....
ReplyDeleteHawa jamaa hawana lolote jipya. Ni watibuaji tu, ni mkakati maalum wa kuneutralize nguvu ya upinzani kipindi hiki ambacho wanajiandaa kuongeza uwingi bungeni.
ReplyDeleteKazi kweli kweli.
hakika tanzania tatizo siasa imezidi kuliko uchapaji wa kazi kuanzia wananchi hadi viongozi. kiongozi wa kweli ni yule ambaye anfanay kazi na wanachi na kutumia muda mrefu kwa wananchi. angalia uchaguzi october lakini mambo ya uchaguzi yameanza muda mrefu. namuunga sana raisi katika uchaguzi watu wasitumie pesa kama ni mtu mzuri na mchapa kazi hata pesa moja hahitajiki. mtu anayetumia pesa huyo ni hatari maana ana mambo yake. ila naomba raisi alifanyie kazi mwenyewe hili jambo ya kutumia pesa kwenye uchaguzi yaani rushwa itangazwe kuwa ni janga. MUNGU IBARIKI HAKI AMEN wasalamu mohammed
ReplyDeletemchanga wa pwani, mchanga wa pwani!!!
ReplyDeletemalizia mwenyewe hiyo Chorus ya 'Kocha wa Dunia'
Tunaomba Mungu isije ikawa tofauti ya chama hiki na tawala ni "letter" J tu.
ReplyDeleteWadau,
ReplyDeleteHabari hii ni nusu habari, je hawa viongozi wa CCJ kabla ya kusajili Chama walikuwa wana shughuli gani za kimaisha binafsi yao na kwa jamii iliyozunguka.
Watanzania tuwe na tabia ya kujiuliza viongozi wetu wa kisiasa wametoka wapi, wana shughuli gani mbali ya siasa n.k
Sasa ni wakati muafaka kuwajua historia zao kabla ya kuanza kuwashabikia au kujiunga na Chama walichosajili.
Mdau Kisarawe
030210
ReplyDelete"Chama Cha Maendeleo ya Hali ya Juu ya WATU (CHAMAHAJUUWA)"
a SATANIST (aka "MSOMI" mkongwe) kacharuka, duh
ReplyDeleteooooh bukoba line hii
ReplyDeleteTOFAUTI NA CCM NI J AU M?
ReplyDeleteKwa hiyo hawa tutawaita Chukuwa Chako Junguni ama?
ReplyDeleteNawapongeza kwa kuamka na kuanzisha chama cha kisiasa. Polepole tutafika. Hao wanaokula kwa mgongo wa CCM wakiona watu wanaamka watafanya kazi vizuri. KUwa na vyama vingi vya kisiasa sio mbaya bora wanafuata sheria.
ReplyDeleteHawa watu kama waliona tunayoyaandaa humu kwetu. Na siye huku tunaanzisha chama tutachokiita Tanzanian Independent Patriot Party (TIPP). Mkutano wa kwanza tumepanga utafanyika April halafu tunakuja kukisajili mwezi wa sita.
Purpose, Mission, Principles, Legacy, Platform ...Inakuja soon ....
Mdau _ NY CITY
sample hiyo,
ReplyDeleteChama Cha Maendeleo ya Hali ya Juu ya Watu! (CHAMAHAJUUA)
Well done guys kama ccm imeweza kuanzisha matawi ya chama nje ya nchi kwnini visianzishwe vyama vingi tanzania? mwendo ndio huoooooooo CCJ CCJ...patamu hapo wakutane fans wa ccm na ccj ...
ReplyDeleteitakua cc jm cc mj
aand i likethe name sisi Je? Yeah waulizeni hao ccm na si si je ?????? Wamejisahau the more parties in the country the more the IQ
Ufisadi sio sera wala kauli mbiu. Wakija na gia hii watapotea kama CCm walivyopotea na kauli mbiu yao ya kuhamasisha kilimo na kazi badala yake wanalindana katika kuiibia nchi yetu na kuwakabidhi wageni. Tena bora wangeiibia Tanzania na pesa kubaki nazo wao,badala yake wanaiibia Tanzania na kuwapa wageni na wao kuambulia sifa za ukalimu. Ankal kama kawaida itie kapuni mwana CCM!
ReplyDelete