Hasheem Thabeet

Grizzlies Recall Hasheem Thabeet from NBA Development League's Dakota Wizards

Memphis, Tennessee – The Memphis Grizzlies recalled center Hasheem Thabeet from the Dakota Wizards, the team’s NBA Development League’s affiliate, Grizzlies General Manager and Vice President of Basketball Operations Chris Wallace announced today.

The second overall pick in the 2009 NBA Draft, Thabeet averaged a double-double with 13.8 points and 11.2 rebounds along with 3.17 blocks on 50.0 percent shooting in 31.3 minutes in six games (four starts) with Dakota after being assigned by the Grizzlies on Feb. 25.

The 7-3, 267-pound center, who led the Wizards to a 5-1 record, scored a D-League career-high 19 points on Feb. 28 at Fort Wayne and grabbed a personal-best 18 rebounds on March 5 at Tulsa.

The 23-year-old rookie is averaging 2.5 points, 2.9 rebounds and 1.16 blocks (second among first-year players) in 50 games with the Grizzlies.

FOR SOURCE CLICK HERE



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 45 mpaka sasa

  1. haya, mliosema jamaa kachemsha, mko wapi leo?

    ReplyDelete
  2. Haya sasa haters semeni, oh awezi tena kurudi NBA oh kijana alikua anajidai sana, yaani sisi watanzania watu wa ajabu sana, mmoja wetu akifanikiwa we start hating and running our mouths like crazy instead of supporting and encourage him in his carrier. hasheem kaza buti umejifunza anytime mambo yanaweza kubadilika.

    ReplyDelete
  3. AFADHALI AMERUDI KUTUWAKILISHA
    WATU WENGI WALIKUWA WANAFURAHIA JAMBO LA HASHIM KUSHUSHWA DARAJA
    HONGERA HASHIM ENDELEZA LIBENEKE POPOTE ULIPO
    ACHA KUSIKILIZA MANENO YA WAPIGA BOXI AMBAO MAISHA YA ULAYA YASHAWACHANGANYA!
    MDAU WAKO
    PROFESSOR MWAIGOBEKO
    UNIVERSIRTY OF EAST LONDON
    WOOLWICH

    ReplyDelete
  4. Kajifunza Makosa yake. Inshallah atafanya vizuri sasa ili vijana tuige mfano mzuri wake.

    ReplyDelete
  5. Haya sasa waliokuwa wakimsema vibaya Hashim wako wapi? hashim mdogo wetu usijali siyo wote wanaokutakia mazuri wengi walikuwa wanatoa maoni kwa chuki zao binafsi juu yao. Lakini pia fanyia kazi maoni yao hasa yale yanayojenga. Usipoteze muda kwenye Facebook jali mazoezi na kujituma hata kama kocha kakupa dk tano zitumie kisawa sawa. Maana yake jirani zetu Wakenya na wengineo walianza ohhooo yako wapi Hashim, Hashim Hashim sasa tunaweza kujidai jibidishe tu.

    ReplyDelete
  6. Good Job Hasheem!
    Keep it up, usiwape nafasi wasikutakia mema.Tunakuombea kila la heri.

    ReplyDelete
  7. Haya wale waosha vinywa sijue watasemaje?

    ReplyDelete
  8. KIMYAAAA

    ReplyDelete
  9. http://www.sbnation.com/2010/3/8/1363167/hasheem-thabeet-grizzlies-called-up-nba-developmental-league-assignment

    ReplyDelete
  10. KWELI KUTELEZA SIO KUANGUKA!!!!

    ReplyDelete
  11. Hashim, liwe fundisho hilo wazungu wanajulikana manake ukizembea tu watamleta mtu mwingine au ndio contract ikiisha ndio imetoka hiyo.
    lakini yote 9, 10 ni nani kafanya mambo hayo, shekh yahya au bagamoyo? tuambizane bwana tetete

    ReplyDelete
  12. MI SIONGEI MENGI ILA NAOMBA HASHIM MDA MWINGI TUMIA KUFANYA VITU VITAKAVYOIBORESHA KAZI YAKO KAMA UFANYA MAZOEZI NA MENGINEYO, ACHANA KUPIGISHANA NA SISI KWENYE MITANDAO HEBU. NA USIWE NA KINYONGO NA SISI TUNAOKUPAKA MAHALA UKICHEMSHA HIZO NI GHALAMA ZA USUPA STAA. BINAFSI NIMEFURAHI KWA WEWE KURUDI NBA.

    Mdau Asegelile Mwaifuge

    Kandete Tukuyu.

    ReplyDelete
  13. Kila jaribu huwa lina mlango wa kutokea, cheers Big man

    ReplyDelete
  14. This is all that i wanted,,Go Hasheem....your confidence made your success...then attention HATERS,mpo..??

    ReplyDelete
  15. Dogo
    sasa inabidi ukomae sana kuliko hata ulivyoanza ,achana na mambo ya kujibizana na watu..ufanye kazi sasa ..sababu kwa sasa utakuwa very closely monitored na matarajio yataongezeka mno kutoka kwa wanaokuangalia...wacha kuganda kwenye net muda mrefu!!!

    mdau
    memphis

    ReplyDelete
  16. Mhh! Hawa jamaa mbona hawaeleweki? Mara D league mara rudi hopefully jamaa hatovunjika moyo. Kaza buti Hasheem mambo ya NBA ni ushindani wa nguvu. Tunakutakia kila la kheri!!

    ReplyDelete
  17. Hongera Hasheem, ila ukaze buti kisawasawa.

    ReplyDelete
  18. Mara ya kwanza wakati Hasheem kashushwa chini hapa sikutoa comment nilikuwa nasikitika jinsi watu walivyokuwa wanatoa comment za kejeli na kumuumiza Hasheem
    NOw semeni tena basi

    ReplyDelete
  19. ha ha haaaaaaaa uuuwiiii nyie mlochonga hawezi kurudi sijui ushuzz gani pyuuuuu mungu ni wetu sote yanaona haya hayoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo hongera hashim uko juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu kama mnazi na wadelete marafiki ushuzz wote wanyari kwa sana tuu jichanganye na macelebrity wa ukweli wabongo ukiaribikiwa midomo juuuu kweli mungu si abdalah narudia tena wadelete wabongo hawafai kabisa kazi kuchonga tuuuuuu

    ReplyDelete
  20. yamewashuka shuuuuuuuuuuuuuuuuuuu hongera sana hashim umewaprovu wrong hasa wabongo mimbeaaaaaaaaaaa yani futa nayo urafiki rafiki mkia wa fisi delete wote kivyako vyako hawajakulata huko washot hao yani nahasira nao kweli wadeleteeeeeeeeeeeee unafiki umewajaaaa tena ufanye lipati la ajabu na usiwaalike ng'ooo alika timu yako tu wabongo nuksi hadi majuu

    ReplyDelete
  21. HONGERA SANA. Usiangalie nyuma, usijibizane na mtu. Kuna mpuuzi alisema eti haijawahi tokea mtu akarudi katika Ligi ya NBA. Nafikiri atakuwa anajisikia vibaya sana, bahati mbaya micuzi haweki majina ya sisi tunaochangia, SHAME ON HIM /HER

    Observer

    ReplyDelete
  22. This is good news...

    Go On Hasheem, make Tanzania proud.

    NE,
    Reading, UK.

    ReplyDelete
  23. Thabit my young brother sasa hivi you need to work more than hard, ubishoo umepitwa na wakati, you need to grow up now. Upo mgodini hakuna kulala piga mzigo kama hauna akili vile. Jishushe na kuwa mtu wa kawaida na mwenyezi Mungu atakubariki. Usijibizane na watu kila mtanzania anakupenda kwa moyo wake wote na kila mtanzania anakuombea mema, unapochemsha kila mtu anasononeka na anakuwa mkali kwako. Wamarekani watakupenda pale unapofanya vizuri lakini unapoboronga wanakutema, they don't care how much they have paid you! wapo tayari kukulipa pesa waliyokuahidi katika contract hata kama hujatimiza miaka mliyokubaliana na wakakutaka uanze. Ila utakapokuwa na bidii utapata endorsements nyingi na hizo ndizo zinawafanya wachezaji wa NBA kutengeneza hela ya maana.
    Hii ni chance yako itumie ipasavyo!
    Ni mimi mdau wa damu USA.

    ReplyDelete
  24. Bonge la test of his life na atajitahidi kupita kiasi life always is up and Down

    ReplyDelete
  25. Welldone bro, we pray good for you.
    keep it up.


    disminder.

    ReplyDelete
  26. Dah!,afadhali maana kuna mijitu ilishaanza kuongea kana kwamba inaijua sana NBA.Keep it up mwana

    ReplyDelete
  27. hakuna mtu aliyemkashifu hashimu au abaki uko D League,labda very few

    ILA kupewa changamoto na maneno ya watu ni kitu muhimu sana ktk maendeleo ya mtu binafsi,ofkoz hashimu anawakilisha pia tz so lazima tu apewe changamoto ili ajitaidi na AJUE kuna watu tunamfatilia kila hatua asa NBA ili akaze buti na asilembe ilo life alopata,maana ni aibu yetu pia (kumbuka alikuribishwa adi ikulu kwa pati,mchezo!)
    so utapewa changamoto tu adi ukomae uko-uko NBA...
    yes umerudishwa NBA tena,still many eyes are on yu,KAZA BUTI usije rudishwa tena ushapata shule apo,hakuna mchezo lelemama!!!

    so nyie maanoni mnaochonga umu,ata hamjui mnachoandika-ovyo sana!

    binafsi nimefurahi na ubarikiwe utulie apo apo!!

    ReplyDelete
  28. ofkoz tumepata relief karudi maana!

    ngoja tusome izo sababu zilizowafanya wazungu wanamzungusha mara kashushwa mara karudi

    hashimu kazana bado sanaaaa

    ReplyDelete
  29. na kweli kuna mijitu ilikuwa unajidai inajua saaanmamboa ya NBA kuliko walioanzisha yani nilikereka ile siku kimoyoni nikajiuliza hivi akirudi je tena huko nba?? yani Mungu bwana akifungulia jua la baraka hata mzibe na ungo litachomoza tuuuuu hongera sana hashim fanya mazoezi ya ukweli bidii mbele delete wabongo wote hao hao ndo walikuwa namba moja kuua mbaya wadeleteeeeeeeeeeeeeee manake wameonyesha walivyo na roho za korosho badala ya kukupa pole na kukutia moyo wakaua ooh haijawahi tokea mtu kurudi nba mara sahau ni ndoto he heee haya ndoto imekuwa dream!!!!

    ReplyDelete
  30. walosema hayawi sasa yamekuwaaaa ooh hata akirudi tena nba itachukua miaka loooo??? jamanini wabongo si mchzo anyway nakumbuka kwenye zile comment niliacha ujumbe wa marekemu aaliyah " if you dont succeed just dust of and try again!!!kweli bwana ni ujumbe tosha wakaanga thumu halooo pandeni juu mwende mkazibeeee

    ReplyDelete
  31. wengi waliomponda ni wale jirani zetu wanaodai mlima kilimajaro ni waoo sasa wanaona haya wamefanywa vibaya waswahili wana sema kama ipo ipo tu babaake hata wamshushe wampandishe mara ya mwisho utasikia yuko bulls

    ReplyDelete
  32. Hao Haters haoooooooooooooooooooooooooooo
    Haters now wanalia hata Box watakuwa hawalibebi vizuri kwa machungu leo,
    Haooooooooooooooooooo
    teheteheteheeeeeeeeeeeeeee
    hahahahahahah
    haooooo kama nawaona vile haooooooooooooo
    hiloooooooooooo
    hohohoh haooooooooooooooo

    ReplyDelete
  33. The fact is Hasheem has not done well in NBA as he was expected by many people including himself.

    He really to work hard on his game to increase his performance and impress people who manage his team so that he can be selected to play in the first team regularly.

    He should take droping to low division as reminder for him to improve his game.

    At end of the day all benefits go to him and his family. Many of commenters here are just outsiders and well wishers.

    That is reality.

    ReplyDelete
  34. BIG UP!!!!
    BIG BOY !!!!!!

    Say,
    W.G.s

    ReplyDelete
  35. He stayed focused and delivered on the D league to get the recall. Good stuff. He now needs to stay on top of his game. Haters can look elsewhere for action :-)

    ReplyDelete
  36. wewe mdau wa Tue Mar 09, 12:50:00 PM,
    Acha kuHATE bwana,sawa mafanikio yanaendwa kwake na familia yake,but kwa sababu anafanya mambo ya kijamii yakuwa na ya jamii pia kwa iyo akishinda na sisi tumeshinda,akifeli na sisi tumefeli,
    na wewe unaonekana ndio mmoja kati ya watu walioandika Comment mwanzoni.

    Hasheem Oyeeee
    Man u Oyeeeeeeee

    ReplyDelete
  37. Piga kazi kaka, hongera sana, endelea kuwaonyesha kuwa unawakilisha zaidi ya watu milion 37, wazuri na wabaya wote ni abiria wako!

    Kampuni,
    Norway

    ReplyDelete
  38. dawa ni kukaza buti tu na waliokuwa wanabwabwaja yawashuke. Tuko pamoja nawe Hasheem...

    ReplyDelete
  39. Candid ScopeMarch 09, 2010

    NAFIKIRI HILI NENO HATERS LISINGEENDEKEZWA KATIKA SUALA HILI. WATU HUTUMIA NJIA MBALIMBALI KUMTIA MOYO AU KUMHIMIZA MTU AFANYA ANACHOTAZAMIWA NA WAPENDA MICHEZO. UKIFANYA KITU KIZURI WENGINE WATAKUSIFIWA KWA KUKUPAPASA NA WENGINE KWA KUKUSHIKA MKONO KWA NGUVU NA WENGINE KWA KUKUKUMBATIA KWA NGUVU ZOTE ILI MRADI KILA MTU KATOA YAKE KADIRI YA HULKA YAKE.

    KWANGU MIMI NAYAELEWA YOTE YALIYOSEMWA JUU YA NDUGU YETU HASHEEM ILIKUWA KUMTIA MOYO NA KUMPA NGUVU ZA KUJIAMINI KUWA YEYE ANAWEZA FANYA ZAIDI YA PALE NA SASA NDO WAONA MATOKEO YAKE.

    NARUDIA UJUMBE WANGU KWAKO KAZANA SANA KUCHEZA KWA KUJITUMA ZAIDI NDO SIRI YA MAFANIKIO YA KUTUMBUKIZA MIPIRA MINGI KIKAPUNI. UREFU WAKO UNAFAIDA ZAIDI KWA MIPIRA INAYOZAGAZAGA PALE JUU NDO INAYOWEZA KUKUPA ZAIDI POINTS.
    KAZA BUTI BWANAMDOGO

    ReplyDelete
  40. Japo watu watampinga mdau wa Tue Mar 09, 12:50:00 PM, binafsi nakubaliana nae kiasi fulani kuhusu Hasheem. Kupelekwa D League nadhani ni ishara nzuri kwake kwamba. That is the wake-up call,so he has to be serious week in week out on the field and on training, until when the League is over in May, and start relaxing on holidays. The whole period of the league(about 9 month) is the period of war, so he has to be strong and focus,n trying to keep the perfomance trend higher and constant. Ila napingana nae kwamba mafanikio yake ni kwa ajili yake na familia yake,sidhani kwani kama aiafanya investment Tanzania ni wazi kuna wenzetu kama sio mimi au yeye watafaidika na uwekezaji huo,hata media ikiandika a man from Tanzania inatosha sana kwani fans wake wataanza kuingia wikipedia kusoma kuhusu Tanzania. I am sorry about my poor comment format! It is kiswakingizzz! shame on me any way...

    ReplyDelete
  41. Wabongo tunapenda kuchonga sana kwasababu tuna a lot of free time in our hands. Tungekuwa creative na wahangaikaji mbona ata muda wakuchonga haupatikani. Lakini inaonyesha jinsi gani tulivyo na empty minded bla bla nyingi. Tunapenda vitu ambavyo hutumii akili/busara/energy it is just running our mouth. Oh God help us!!!! All the best Hashim!!!

    ReplyDelete
  42. Wabongo wote tuna roho za kishirikina. Na tunajua fika kwamba hatutaweza kufika hata 1 ya milion ya alipo Thabeet.
    Pia dogo anatupa heshima kitaifa.
    Mibongo tunaboa kinoma
    Keep it up Thabeet

    ReplyDelete
  43. Matusi na kashfa yanatia moyo?
    Mnafurahia kuanguka kwa mtu ndio kutia moyo?
    Roho mbayaaaaaaaaaaaaa
    Songa Thabeet tuko tunaokumbea kila saa na kila siku

    ReplyDelete
  44. go go go Hashim,all the best

    ReplyDelete
  45. Big up Hasheem Thabeet, Tries bien!! pull up your sokssssssss!
    By Coolbasta67@yahoo.com
    Tz

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...