Mwenyekiti wa kijiji cha libeneke Maggid Mjengwa March 11, 2010 atasherehekea hepi besdei ya kuzaliwa kwake. Globu ya Jamii inampa pongezi kwa hilo sambamba na juhudi zake za kila siku za kutuletea haya na yale yanayojiri kwenye safari zake za kila mara kupitia libeneke lake adhimu la http://mjengwa.blogspot.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...