TAARIFA KUTOKA BAHARINI MUDA HUU 21:00PMLT

KUNA MOTO MKUBWA UNAWAKA MAENEO YA SOKO LA SAMAKI FERI MABANDA YAPATAYO MAWILI YAMESHATEKETEA KABISAA NA MOTO UNAENDELEA KATIKA BANDA LA TAU HIVI SASA

VIKOSI VYA ZIMAMOTO VYA BANDARI VINAJIANDAA KUJA KUUZIMA MOTO HUU AMBAO UMEZUKA JIONI HII NA CHANZO HAKIJAELEWEKA..

MADHARA NA PICHA ZITAWAJIA PUNDE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. JAMANI HAPO PANATAKIWA PAJENGWE POTE VIZURI MAJENGO IMARA YA NGUVU YA HIZO BIASHARA SI VIBANDA TU

    ReplyDelete
  2. Hakujajengwa Vibanda mbona kumejengwa au mnaongelea sehemu nyengine kabisa. Tusubiri picha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...