


Country: United Arab Emirates
Floors: 160
Height: (m) 828
Height: (ft) 2717
Builder: Dubai Properties
Architect: Skidmore, Owings and Merrill
Developer: Dubai Properties
Date opened: 2010
PAMOJA TUNAENDELEZA LIBENEKE LA GLOBU YA JAMII
MDAU WA DUBAI
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nothing
ReplyDeletetallest building, so what? yahoo updated us many many weeks back! Ulikuwa wapi?
ReplyDeletewete wadau wa kwanza na wa pili kweli hamna ustaarabu na shukran kibisa na wala hamna mila za kiafrica nyinyi nyamafu, yani mwenzenu anakuwekeni clips za picha na kama nyinyi mmerezika na vimacho macho venu kuona mijengo kibao basi jengeni na lekwenu kidogo tukuoneni wa maana.'
ReplyDeletevitu vya wenzenu kazi kufisizu ooh yahoo ina tu update us kila mara kwa week, ulikuwa wapi wewe uliyekuwa huna shukurani na unaingia kila leo katika hii blog na wakati huna blog yako mwenyewe..
acha ujinga wewe/nyinyi
michuzi mkuu usibaniye hii comment bro
Mbona hujasema kama walikopa fedha kujenga hilo jengo? na sasa wanadaiwa kulipa wanashindwa
ReplyDeletena kwa taarifa tu ni kwamba hili jengo limefungwa!!!!!!!
ReplyDeletewewe ndiyo ulifahamu leo? basi umechelewa sana.
ReplyDeletewatu wengine bwana! eti ana posti the tallest building in world! sasa unataka tufanye nalo nini na ili iwe nini au ni kitugani cha maajabu! yaani mambo yakijiiinga. hayo mambo yalipitwa na wakati.watu wenye wanaoishi humo hawana amani! dunia yaki leo watu wanaishi yumba za chini zenye mi garden na mambo tu mengi, watu wakiamua house party au bbq hawapati shida. sasa huyu jama anatuletea letea! njo bujumbura uone villas na mansions uchanganyikiwe. mdau toka bujumbura
ReplyDeleteWow.....amazingly gorgeous!
ReplyDeleteDubai inaelekea kumekucha kweli, kibiashara, ki cosmopolitan etc. Is Dubai becoming the new "New York"?
Najiuliza wanawezaje kuendelea ki biashara kiasi hiki, ikiwa wanaendesha nchi kwa interest free?(islamic way) or do they?
Hakuna lolote wote wakandiaji choyo tu kimewajaa ingekuwa jengo kubwa duniani lipo marekani na limewekwa hapa wangelisifu na mpaka mwaka gani limejengwa wangelitaja duh kazi kweli kweli
ReplyDeleteNew York sio majengo tu, kuna mambo mengi mno na sidhani kama kuna mji utafikia historia ya New York au utafanana na character ya NYC, the big the beauty and the ugly, the city will inspire you and the culture will amaze you!
ReplyDeleteDubai ili ivutie zaidi watalii inabidi iwe na personality yake culture yake na character yake. Vitu ambavyo hujengeka kwa miaka mingi sana. Mji si majengo tu, ni watu na shughuli zake na mambo yake.Dubai ni Dubai na London ni London na Tokyo ni Tokyo na Dar ni Dar tu.
Yale yale maneno yako hayajaangukia mbali anon wa Tue Mar 30,10:14AM si umeona mdau chini yako hapo
ReplyDelete