Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. acha wewe code code, watu hawajui hizo na hiyo keyboard inapigwa utafikiri mpigaji ni profesor, eti wanamuziki wa bongo wana mapungufu ya kutojuwa code, kama unataka kufungua shule ya kupiga kinanda fungua na sema watu waje kusoma,mineno mingi ya nini, baki basi na code zako

    ReplyDelete
  2. Brother Michu mimi ni mpenzi mkubwa
    wa upigaji kinanda japokuwa sijui kupiga. Nimekuwa nijakiribu kutafuta mtu anayejua kupiga kinanda kitalaam nikimaanisha kutumia codes, scale pamoja nakusoma zile ala za muziki lakini sikuwahi kufanikiwa. Nimefuatilia kwa makini sana video hii na ninaweza kusema huyu bwana ni mjuzi wa kupiga kinanda kitalaam,anajua nini anachokifanya angalia hasa hapo kuanzia dakika 7.01 sio kama wapiga wengi wa bongo ni wanajua juu juu sana na muziki wao huwa hauna radha kabisa. Brother michu naomba contact za Lister nahitaji kufaham aina ya hicho kinanda(Brand name pamoja na series yake)ili ninunue na pia kwa ushauri wa kujifunza kupiga kinanda.

    Mzee wa Dodoma
    abc2010ab@hotmail.com

    ReplyDelete
  3. We Professor jay hapo kwanza acha maneno! Ndio maana Watanzania hamuendelei kwani hamjui kukweza na kuthamni vipaji vya watu!! Jamaa Lister anaujua muziki kama hutaki utabaki hivyo hivyo na Kilimnjaro award hadi muote vibiongo!! Watanzania bwana wabishi halafu wafupiii!

    ReplyDelete
  4. WEEE ANONYMOUS WA KWANZA JAMAA ANAJIBU MASWALI YA MICHUZI HEBU SIKLIZA VIZURI MIMI NAPENDA MZIKI LAKINI SIUJUI MZIKI LAKINI AMENITOA MATONGOTONGO JAMAA ANAUHAKIKA NA NA MUZIKI ANAUJUA NASEMA TENA """"USIKURUPUKE JAMAA AMEJIBU ALICHOULIZWAAAAAA EEEEHHE ACHA WIVU HATUTA ENDELEAA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...