Mwenyekiti wa Chama cha wapigapicha za habari Tanzania (PPAT)aliyemaliza muda wake, Juma Dihule akifafanua jambo. Kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa chama hicho aliyemaliza muda wake, Suleiman Mpochi na Katibu Mkuu mpya Mroki Mroki
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Wapigapicha za Habari Tanzania (PPAT) wakimpongeza Mwenyekiti mpya wa chama hicho, Mwanzo Milinga baada ya kuchaguliwa katika uchagulizi uliofanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) jijini Dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...