Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana (kushoto) akimkabidhi mfano wa funguo mshindi wa shindano la Safari Lager 'Chagua zawadi yako' Johnson Rugumamu aliyeibuka mshindi wa zawadi ya baa katika droo iliyochezeshwa Desemba 22 mwaka jana. Hafla hiyo imefanyika leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko wa TBL, David Minja na Meneja wa Bia ya Safari lager, Fimbo Butallah.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...