Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. aisee ankali hii fan ya band naona imeingiliwa sasa ; sasa huyu jamaa ataimba nini kusema ukweli mhhh nitajionea

    ila hii kali walaah

    ReplyDelete
  2. Sijapenda tangazo lake liko very poor...boys??? na picha za kuchora kwa mkono...anayemjua ampe ushauri amlipe designer atoe tangazo linalovutia,...siendi mpaka abadilishe Tangazo

    ReplyDelete
  3. Kwa namna yoyote ile unayotumia kujitangaza, binafsi nakupa hongra sana kwa uamuzi wa kuanzisha live hiphop. Hakika wanamuziki wageni wanaleta mapinduzi. Soon mtaanza kupata shows kwenye majukwaa ya kimataifa. Sikushangaa kuona sauti za busara kupiga chini Bongo hipho na Bongo Fleva sababu kubwa ni CD playback. Hata kushuka kwa mahudhurio kwenye matamasha ya Hiphop na Bongo fleva ni kutokana na hizo play back kuboa. Utasikia huku msanii anakwambia piga keleleeeee,wakati CD inatema mistari aaaaaaaah!
    Hongra CHID BEEEEEENZ kwa kukua toka MSANII hadi MWANAMUZIKI!Keepon goooooiinnnnn! Tunataka kusikia Daresalam stand up inapigwa na gitaa,ngoma filimbi mixer kwa mbaaaali na vinanda huku ukitawala kukwaa hai

    ReplyDelete
  4. lakini that's what we call originality besides its hip hop it need not too much color on the advert
    sehemu, gharama na muda vii specified, what more need you? you go if your a fun of local talent

    ReplyDelete
  5. aiite La familia band, na sio la familia the band, haisound well

    ReplyDelete
  6. Mbona siwaelewi? kichwa cha habari kinasema kila Alhamisi wakati tangazo lake la kuchora linasema kila jumatano so when is when? By Mwanyika

    ReplyDelete
  7. mdau Thu Mar 04, 06:38:00 PM na bendi a pdiddy inayoitwa PDIDDY THA BAND? its oke...la FAmilia the band anatyofautisha na wengine B band MAchozi band so it sounds very well wabngo mnapenda sana kucriticise btw tangazo lake perfect ni ubunifu thts hiphop if u dont know..

    ReplyDelete
  8. Baba UbayaMarch 04, 2010

    wee bwege unayetaja ubunifu hebu acha kelele.sasa kama kuna PDIDDY THA BAND alafu huyo anaiita La Familia The Band alichobuni ni kipi?ungesema tu ni uigaji na si ubunifu.lingine,hakuna PDiddy Tha Band.ni PDiddy Making The Band.

    anyways,Chid decided it and let him do it.mnaoanza kulialia kuwa iwe hivi ama vile hilo haliwahusu.is never bad kuiga mazuri.ila tu iwe making na tabia yake ya kulewa then ngumi mkononi.that's not Hip Hop.use your rhymes 2 fight your enemies.

    One!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...