Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg. Jubilate Kileo akimkabidhi mshindi wa tatu wa Mashindano ya Siku ya Mazingira Afrika kitita cha fedha na mpira ambaye ni kapteni wa timu ya sombetini uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini A-Taun leo Waziri wa mazingira wa Ghana Mh. Ashay Ashey akimkabidhi kapteni wa kaloleni zawadi ya mshindi wa pili wa michuano ya Siku ya Mazingira Afrika

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dk. Batilda Barian akimkabidhi kombe la ushindi wa kwanza wa michuano hiyo. Picha zote na Woinde Shizza wa Globu ya Jami.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...