

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal,
ReplyDeleteDress code inasema NO HATS, lakini wewe umekula kapelo vilevile. Hii ni VIP treatment au unaonyesha u STARDOM wako.Kula raha zako.
Naomba kuuliza uongozi wa Club Afrique una maana gani kuandaa hiyo shoo siku ya Ijumaa Kuu? Hiyo siku kwa kawaida katika kukumbuka kufa kwake Bwana wetu Yesu Kristo mambo kama haya hayatakiwi.
ReplyDeleteKwani mngesubiri hadi siku ya Pasaka ingekuwaje?
Mdau, Bloomsbury, London, UK
Ee bwana eh Michuzi. Hapo kweli. Na mimi nikijaaliwa kufika London lazima nifike hapo mahala. Ninakumbuka mwaka 1993 nikiwa London marehemu Mike SIkawa alinipeleka Finsbury Park kwenye basement ambayo Mariam Kilumanga alikuwa akiendesha disco na kutuuzia supu. Pale pamoja na kuwa mlango wa kuingia na kutokea huo huo mmoja ilikuwa mnakutana na Wakenya na Waganda. Lakini naona hiyo ya Malongo ina hadhi haswa.
ReplyDeleteIdumu ze flanazzzzz!!! Niliimithi ile mbaya
ReplyDeleteMdau hapo juu ijumaa kuu ni this coming Friday sijui wewe uko ulimwengu upi. Au ulitaka tu kusema?
ReplyDeleteBox kali hata hujui siku zinaendaje...LOL
wadau mi na wazo naomba huyu ankul tumuite ANKO SUGU WA FULANAAAZ,,maana hakomi kuvaa hilo fulana,,au hasomi comment nini?
ReplyDeleteHaki ya yani ZE FULANAZ hadi UK!! kula bata Ankal u deserve it. Tunashukuru kwa kutuhabarisha news japokuwa uko mbali. Karibu na huku kwa Hu Jintao ukipata mwanya.
ReplyDeleteMdau - Beijing.
We chizi wa 29th March 09.56 pm ndio umechoka kama si joto la Bongo linakula ubongo wako basi ni ujinga wako tu.
ReplyDeleteKwani mimi nimebisha kuwa this coming Friday ndio Ijumaa kuu?
Halafu watch your mouth, not everybody who comes to the UK comes "kubeba box". Hao wenye shughuli hiyo huwezi kuwakuta Bloomsbury, sawa?
Jamani huyu ndiye kawelee mutimwana wa tancut ochestra na MK group (ngoma za magorofani). Tunammisi sana na jitaa lake la solo. Tutafurahi kama tutapata CD za nyimbo zake za sasa hapa bongo.
ReplyDeleteMichuzi tufahamishe.