daraja la salender bridge enzi hizo. asante mdau rajabu kwa taswira hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Jamani Ankal nikirudi bongo lazima nikutafute nikuone live,inaonekana ni mcheshi sana. Yaani unaniua mbavu saa sita za usiku! Mimi uk.

    ReplyDelete
  2. Mbona ujato picture bahada ya MANYOYA?

    ReplyDelete
  3. Ankal,
    Hizi ni picha ambazo hatuna budi kuzienzi, maana zinatuonyesha tumetoka wapi.

    Wadau mnaikumbuka Bagamoyo rodi, kipande toka daraja la manyoya aka salenda hadi Morocco rodi ilivyokuwa enzi hizo???.. Kulikuwa na miti kila upande wa barabara....

    Mnakikumbuka keep-left cha pale nyumba ya sanaa (Movenpick), kuna kipindi kabla konoike hawajakipeleka ground zero kilipigwa chata za pepsi kwa kwenda mbele...

    Kuna haja ya msingi ya kukumbushana mandhari za miji/mikoa yetu ilivyokuwa enzi hizo.

    tembeatz.blogspot.com

    ReplyDelete
  4. Aaaaaaaaaaaah we michuzi, ifute haraka sana hiyo picha. Nasikia ni marufuku kupiga picha hapo tena ipo kwenye sheria sasa wewe umeipata wapi????!!!!

    ReplyDelete
  5. from the "good old times"! In which year was this pic taken?

    ReplyDelete
  6. Duh hivi hiyo minazi imeenda wapi siku hizi? Ilikatwa nini! au bado ipo sema haionekani!

    ReplyDelete
  7. Ingekuwa ni vyema kama tungejua picha hii ilipigwa mwaka gani. Kwa kukisia nahisi ilikuwa miaka ya 1940 au 1950. Kwa kuangalia picha hii ni vigumu kuamini minazi imetoweka Dar. Nakupa changamoto ankal utuwekee picha ya minazi angalao mitatu iliyo pamoja katika Dar ya enzi hizi. Najua haiwezekani kwa kuwa Dar sasa hakuna minazi. Imekatwa yote. Wanamazingira mko wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...