Msanii Vicky Kamata yuko mkoani Tabora kwenye maazimisho ya siku ya wanawake duniani na kesho kwenye kilele cha siku hiyo amepangiwa kuimba wimbo maalumu kwa ajili hiyo akishirikiana na wanafunzi wa Tabora girls. Wimbo unaitwa 'Wewe nafasi'. Taswira hizi ni za wa mazoezi ya wimbo huo wa halaiki.
Vicky akiwa na baadhi ya wanafunzi wa Tabora Girls
wanafunzi wa Tabora Girls wakifanya mazoezi na
Vicky Kamata shuleni kwao leo huko Tabora



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hey jamani Tabora Girls, my school! Oh the hall, liko vile vile!

    ReplyDelete
  2. lol my skuli mweeee

    ila wale siafu hapana!!
    hongereni madogo kazeni buti msije ishia kuimba tu,muwe wataalam km sie mama zenu

    ReplyDelete
  3. WARSAL="woso"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...