Home
Unlabelled
JK aapisha katibu mtendaji na manaibu makatibu wa Tume ya Mipango leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera Engineer Happiness Mgalula,Mungu akutangulie katika kazi yako.
ReplyDeleteMbona manaibu wengi? au ndio kupeana ulaji.
ReplyDeleteUkiteuliwa unakaribishwa na nduguzo kwenye kuapishwa. Ukitimuliwa pia unakaribishwa na nduguzo?
ReplyDeleteSijui haya maua ni ya nini. Umeteuliwa manake umepewa kazi hivyo kafanye kazi sasa maua ya nini au ndio kushangilia ulaji??!!
ReplyDeleteHii ni kazi wakimaliza muda wao wakiwa wamefanya vizuri ndio wanastahili maua kwa kazi nzuri....
Hapa wangetuambia watafanya nini katika kazi hiyo sio kuanza kukaa mkao wa kula.
Mdau
Hongera sana! Hongera sana mr Tandari Mungu awe nawe katika kazi yako.yesu mnazareti akutangulie kwa kila hatua utakayopitia.your the best!
ReplyDeleteHongera sana bwana clifford tandari mungu akutangulie katika kazi yako you deserve the best be blessed
ReplyDeleteMaua ni jambo la kheri kupewa mwanzoni na mwishoni ni sawa,hiyo ni ishara ya kumtakia kila la kheri katika kazi yake
ReplyDeleteMaua ni jambo la kheri kupewa mwanzoni na mwishoni ni sawa,hiyo ni ishara ya kumtakia kila la kheri katika kazi yake
ReplyDelete