ankal na wadau wakiwa na mtangazaji wa Sporah show ya Ben TV hapa London, Bi Sporah Njau (kati) na mpiga picha wake (wa tatu shoto) wakati wa mkutano wa Diaspora 2. Fuatilia inyavyuu
More on Sporah Njau CLICK HERE
For More videos CLICK HERE
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
More on Sporah Njau CLICK HERE
For More videos CLICK HERE
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal umetoka mtoko! suti yako safi kabisa kuliko za wote ninaowaona katika diaspora2. Unajua ukiwa unafanya Diaspora kama hii ndio nafasi ya kutangaza bidhaa za Tanzania ikiwa ni pamoja na mitoko ya kibongo. keep up kuitangaza Tanzania achana na madiaspora na kamba zao za shingoni! Nitakutafuta ukirejea Dar unielekeze kwa fundi au duka.
ReplyDeletekaka nasikia na wewe ulimwaga sera zako haya tuwekee maana umetuwakilisha wengi usihofu ukanumba
ReplyDeleteintavyuu ndiyo njia nzuri kuliko zote za kupima "intelligency" ya mtu. Leo nimejifunza mambo kadhaa kuhusu huyu dada.
ReplyDeleteAnkal,
ReplyDeleteUmenifurahisha kwa kumsaili huyo Dada na kumrusha hewani.Naamini atasisimua watanzania wengine wenye vipaji na shauku ya mafanikio. Nimepata bahati ya kuzungumza nae nikiwa kwenye Mkutano wa Diaspora hapa London. Nakiri kuwa yuko makini, anajua alipotoka na anapokwenda. Hajapoteza asili yake na utanzania wake moyoni huku akivaa taswira ya kisasa ya kumuwezesha kukubalika na kueleweka na hadhira (audience) yake iliyoko huku diaspora. Ni mfano wa kuigwa.Hawa ndio diaspora tunaowazungumzia.
Sporah, nakutakia kila la kheri.
Mdau,(Mpwa wa Ankal kutoka Foreign)
Waaooh..! very intelligent.Upo juu Spora wewe ni mfano wakuigwa na mabinti wengi wakitanzania
ReplyDeleteMungu akubari sana katika kila ufanyacho
Miguu hiyo sporah i'm loving them
ReplyDeleteKwa kweli huyu jamaa aliyefanya hii interview nampa zake Pongezi amenifanya nimjue huyu Sporah kwani sikuwahi kumjua na kujua kama kuna watanzania wako juu kiasi hiki.
ReplyDelete