Keki ya modo mwandamizi Fide Ilanga aliyosapraiziwa na waandaaji wa Charanga Nite la kila Jumatano hoteli ya Regency Park jijini Dar usiku huu
Fide akikata keki yake
Mwandaaji wa Charanga Nite Asia Idarous-Khamsin akimlisha keki Fide

Asia naye alishwa na Fide
mpambaji maarufu wa mamodo na maharusi akilishwa keki
ankal huwa hajivungigi kwenye minuso kama hii...
Anko Kitenge naye alikuwepo
Fide akisherehekea kwa kucheza Cha Cha Cha
Fide akifurahia zawadi
ankal akiwa na ankal Mussa, mdau wa New York
aliye vekesheni Bongo, kwenye hafla hiyo
ANGALIZO: KUTOKANA NA MAOMBI YA WENGI, CHARANGA NITE YA KILA JUMATANO USIKU KUANZIA WIKI IJAYO ITAREJEA TENA KIOTA CHA MARAHA CHA SAVANNAH LOUNGE ILIYO KATIKA GHOROFA YA TATU NDANI YA JUMBA LA BENJAMIN MKAPA TOWERS (ZAMANI MAFUTA HOUSE) MTAA WA AZIKIWE AVENUE JIJINI DAR. WOTE MNAKARIBISHWA - KIINGILIO MGUU WAKO..











Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 45 mpaka sasa

  1. Michuzi you are looking good here! do away with your "fulannas"

    ReplyDelete
  2. Ankal Musa hicho kikoi nimekipenda sana.

    Asante kwa kuendeleza utamaduni wetu.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  3. Ankal unafanya kazi saa ngapi manake mimi naona masaa 24 ni kujirusha, vekesheni na libeneke.

    Mashaka amepiga vita starehe kwa sana na anataka tufanye kazi zaidi, kwa nini unakuwa mkaidi ankal?

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  4. kutokana na habari hii, sasa sisi tufanyeje?

    ReplyDelete
  5. kwa kweli nimecheka mpaka raha! mmmmh! hizo make up! kazi kweli kweli! kaka wa pajaz na titi upo hapooo! maana vyote umeonyeshwa! Kazi kwako!

    ReplyDelete
  6. kama alivyomfanyia Madee final ya maisha plus angekuwepo afande sele hapo ulikuwa ni mwendo wa MABUUUUUUSUUUUUU kwenda mbele

    raha jipe mwenyewe use PIC n' PAY principle

    ReplyDelete
  7. Hiyo keki kaipamba nani ???

    ReplyDelete
  8. hepi bethdei msichana, nafurahia confidence yako, msichana kuwa bila nywele si mchezo, ni ishara ya kuridhika na ulivo, ur cute, life is too short jipe raha...

    ReplyDelete
  9. eti naomba kuuliza, hivi huyu dada fide hawezagi kuvaa nguo za kawaida hata siku moja yani lazima atuoneshe kuwa ''kaajiwa'' kifua??

    ReplyDelete
  10. Hahahaaaaaaa me sina lakusema about make up uvaaji na keki ankal nakuaminia kwa minuso huchezi mbali hongera fide ila bado unahitaji shule about make up na uvaaji

    ReplyDelete
  11. Ankal, mimi nataka kujua tu, kwani humu huruhusiwi kumfunda mtu?
    Halafu, mimi mshamba, kwani modo maana yake nini? Kuvaa vibaya? Kuacha kifua wazi? Kupaka rangi mwilini? Au nini?

    Huyu dada siku zote namwonaga kifua wazi, amefutika chakula cha mtoto pamoja kama nguo yenyewe hakupima mwenyewe!! Au huwa anaazimaga kwa jirani ambaye kifua chake ni kidogo?

    Ninyi mafungi rangi (sijuwi mnaita makeup)hamumsaidii kuwa aachane na rangi na aachane na hizo rangi tu?

    Naamini kwa jinsi alivyo, akiwa natural atatoka bomba. Kaka Michuzi, mwambieni ajaribu halafu mpige picha na kuweka ktk blog hii. Utaniambia.

    Wengine tumejaliwa kusoma figure za watu na kuzipa mapendekezo jinsi kujipamba. Wakikubali, mbona wanarudi kutupa pongezi kwa ushauri.

    Kila la heri Fide, hepi bethidei tu yu.

    ReplyDelete
  12. Huyu Fide ana occupation gani, kwanini aanike matiti na mapaja yake hivyo kwenye blog? Hivi wadada mkivaa vizuri na kufunika izuri nyeti zenu (titiz, pajaz, takoz etc) mnafikiri hamtapendwa au kutamaniwaaa!!? Disgusting!

    ReplyDelete
  13. Heee Kazi kweli kweli huko Bongo! Kwanza ngoja nianze na positive comments kwani nyie dada zetu mu warembo sana without a doubt.
    sasa jamani makeup hivi mnajifunzia wapi kuzipaka? ama ilimradi kwani mnasambaza tu machhoni midomo na mashavu yaani inasikitisha ambavyo mnachemsha! na clevage yaani toka nguo za low cut ziziduliwa kina dada vifua nje nje jamani muangalie basi hata ma celebrities wa ulaya/Marekani wanavyo vyaa ndo muige kwani mnajidhalilisha saaanaaaaaa.

    ReplyDelete
  14. jamani huyu dada hiyo make up haifai, dada kwenye somo la make up, less is more... duuuh

    ReplyDelete
  15. duh! niliacha hizi pix bahati mbaya
    kurudi nikamkuta analia eti katishwa na pix za huyu mrembo!
    Mh! mi nahisi fide hana boy frendo
    asingekuwa anamruhusu kuvaa na kujiremba kikatuni hivi..

    ReplyDelete
  16. Happy birth day mwana u look like miss Eliot i love u mwaaaaaaaaaah big kiss to you

    ReplyDelete
  17. HUYU FIDE ANAHITAJI KURUDI NYUMA NA KUMKUMBUKA MUUMBA WAKE.

    ReplyDelete
  18. Hongera Fide, Mungu azidi kukuweka uwakilishe vizuri katika fashions
    Rangi nzuri ya nguo.

    disminder.

    ReplyDelete
  19. Huyu mtu anatisha jamani...lol

    ReplyDelete
  20. jamajamajama lol penye ukweli tuseme anko ulipendeza sana.sasa siumpeleke na huyo mzaliwa kwenye kitengo cha mavazi....yani bado nacheka huyo alompamba mzaliwa anahasira naeee au?ndio nini jamani nanyie wapembeniyake hata kumshauri mwenzenuu mnasherehekea alivyonangika au lol but any way non of my business let me say happy birthday mdada

    ReplyDelete
  21. Fidel anaitaji ushauri nasaha kuhusu mavazi... haipendezi mwamamama mtu mzima kama yeye kutuvalia nguo za ajabuajabu wakati sio utamaduni wetu sie watanznia. JAna umesheherekea siku yako ya kuzaliwa ujue kuwa sio mtoto tena wewe ni mtu mzima na kioo cha jamiii

    Jaribu kujirekebisha kuhusu mvavi angalia wnawake wenzio waliokuzukuka wote wamwvbaa kuistaa kusitiri mii yao.

    MICHUZI USINIBANIEE ITOW KAMA ILIVYO PLS!!!!!!!

    ReplyDelete
  22. Fide badilika, natumaini unasoma comments za wadau, kwa kweli unatisha umbo lako na mavazi pia makeup hazijakukaa vema, badilika. HAPPY BDAY TO U.

    ReplyDelete
  23. Fide kwa umbo lako ulilojaliwa na Mwenyezi Mungu kama ungebadilika na kuvaa mavazi ya heshima ungependeza sana mwana dada! Jaribu kuangalia akina mama wenye maumbo makubwa jinsi wanavyopendeza wakivalia vizuri, hasa ukichukulia kuwa ilikuwa birthday ambayo ni siku maalum kwako na bado unakubali picha zisizo na maadili kuletwa kwenye blog ya jamii - shame on u!

    Utawafundisha nini wasichana wanaochipukia ili waige kwako kuvaa nguo za kuonyesha matiti, mapaja na kujipaka marangi ya ajabu ajabu mpaka sura inakuwa kama kinyago fulani. Badilika bibie umetudhalilisha sana kina mama.

    ReplyDelete
  24. huyu dada ni noma!duh may be ndio uniqueness yake n that what make her to be celebrity maana mh!kazi kweli.

    ReplyDelete
  25. Mimi nina hoja na huyo Mdau wa New York...hilo Shuka kulikoni??? kuna fashion na sehemu zake...ila hilo shika baba....am sorry!!
    Ndio NYC ni fashion mecca ila mambo mengine hayatufai. Mussa ...puh-lease!!

    ReplyDelete
  26. Sijui ni macho yangu! Kama kafanana na yule 'Bepari wa Kihaya' kwenye Orijino Komedi!
    epi besdei!

    ReplyDelete
  27. kaka michuzi vipi mambo?mimi nina swali kukuhusu wewe!vipi kwani mai waifu wako yeye huwa wapi unapo kuwa kwenye minuso hii yote?mwe jami tumuonepo kidopo hapo kwenye libeneke!!!!

    ReplyDelete
  28. Ooh dam shit,Fide u look so cute and unique,
    happy b'day to youX4
    happy b'day dear Fide

    Your dress code attracts investors- i want to invest onto you!
    How old are you? Ur age aint but a number,big up Fide

    mdau Kisenga

    ReplyDelete
  29. Nadhani ndo fungu jema alilochagua, hapo cha cha. Khaaaaaa!!!!!!! Ila ubadilike bwana ukiwa na shape hata kwenye baibui tutaliona tu

    ReplyDelete
  30. give fide a break nyie! kwani shida yenu nini, kavaa alivojisikia, hamtaki, angekua lady gaga mngesifia, mmezidi, kazi kuponda wenzenu ili mjisikie vizuri, kwani mmeambiwa yuko kanisani hapo? go fide do what u please don even give a f%$#! ur pretty girl, happy birthday.

    ReplyDelete
  31. Jamani kamechisha rangi ya keki na ya usoni kwani kuna mbaya gani??? lazima fashonista uweke stetimenti wengine waige

    ReplyDelete
  32. hiii... huyu dada vipi??? ankal mwambie ajistiri basi....

    ReplyDelete
  33. Mwana uliyevaa kikoi usije ukaenda uwanja wa mpira uswazi ukaambiwa ujifunze tikitaka wakati ndani mtupu...ohoooo, watoto watakucheka...

    ReplyDelete
  34. katika comments zote ilionichekesha ni ya 04:37.
    yani nimecheka sana eti" hiii huyu dada vipi ankal mwambie ajifunike short msg and funny."

    ReplyDelete
  35. Mi huo mtindi tuuuuuuuuuuuuuuuu!!! Mashallaaaah!

    ReplyDelete
  36. Kuondoa make up na uvaaji wako,Dada Fide wewe ni mwanamke mzuri wa asilia(ambaye mwanamke yoyote anatamani kuwa kama wewe). HAPPY BIRTHDAY! Mimi uk.

    ReplyDelete
  37. Astaghafirullaaaaaah ... hivi huyu mama kujipaka rangi na kukaa uchi ndio nini !!! sijawahi kuona jini ila i'm sure she looks like one huh .... halafu hakomi tu maoni yote haya ... i think anatumia ujinga huu kupata umaarufu .... yaani aibu tupu

    ReplyDelete
  38. ankal hivi hizi post zitatusaidia vipi watanzania !!! may be sijui lengo la blog hii ... tueleze basi

    ReplyDelete
  39. Ukitaka kujua kuwa huyo dada kapinda check anavyofakamia hiyo keki.Go Fide Go, Go my baby.

    ReplyDelete
  40. Mamaaaa!! mi namuogopa bana michu toa hizi pix pls..
    dah! anatisha!!

    ReplyDelete
  41. mwanamitindo maarufu!

    ReplyDelete
  42. yani ninacheka adi sasa HAHAHAHAA

    wengine mashuka,wengine mashati sijui kitambaa gani-michuzi...
    keki rangi yake ipo shughuli...
    uyo muhindi kipara...kazi pevu
    titiz na pajazz la Fide...mbombo ngafu
    basi tu kila kitu burdani


    haaaaa dunia hii,turefushe maisha tu

    ReplyDelete
  43. hii kifaa kimerudi tena kilikula konoz na michu long time,naye michu anakipendaaa

    ReplyDelete
  44. ukimbeba huyu Fide kama wale wachina wanaokatana madenda si atakushusha mshipa?
    Mdau,
    Boston

    ReplyDelete
  45. Mwanamitindo wazimu mtupu. No wonder huwa hatukuoni umeandamana na mwenza wako. Muda umekutupa mkono Fide, hayo mambo ya kuacha kifua wazi waachie teenages....GROWN UP

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...