








aliye vekesheni Bongo, kwenye hafla hiyo
ANGALIZO: KUTOKANA NA MAOMBI YA WENGI, CHARANGA NITE YA KILA JUMATANO USIKU KUANZIA WIKI IJAYO ITAREJEA TENA KIOTA CHA MARAHA CHA SAVANNAH LOUNGE ILIYO KATIKA GHOROFA YA TATU NDANI YA JUMBA LA BENJAMIN MKAPA TOWERS (ZAMANI MAFUTA HOUSE) MTAA WA AZIKIWE AVENUE JIJINI DAR. WOTE MNAKARIBISHWA - KIINGILIO MGUU WAKO..
Michuzi you are looking good here! do away with your "fulannas"
ReplyDeleteAnkal Musa hicho kikoi nimekipenda sana.
ReplyDeleteAsante kwa kuendeleza utamaduni wetu.
(US Blogger)
Ankal unafanya kazi saa ngapi manake mimi naona masaa 24 ni kujirusha, vekesheni na libeneke.
ReplyDeleteMashaka amepiga vita starehe kwa sana na anataka tufanye kazi zaidi, kwa nini unakuwa mkaidi ankal?
(US Blogger)
kutokana na habari hii, sasa sisi tufanyeje?
ReplyDeletekwa kweli nimecheka mpaka raha! mmmmh! hizo make up! kazi kweli kweli! kaka wa pajaz na titi upo hapooo! maana vyote umeonyeshwa! Kazi kwako!
ReplyDeletekama alivyomfanyia Madee final ya maisha plus angekuwepo afande sele hapo ulikuwa ni mwendo wa MABUUUUUUSUUUUUU kwenda mbele
ReplyDeleteraha jipe mwenyewe use PIC n' PAY principle
Hiyo keki kaipamba nani ???
ReplyDeletehepi bethdei msichana, nafurahia confidence yako, msichana kuwa bila nywele si mchezo, ni ishara ya kuridhika na ulivo, ur cute, life is too short jipe raha...
ReplyDeleteeti naomba kuuliza, hivi huyu dada fide hawezagi kuvaa nguo za kawaida hata siku moja yani lazima atuoneshe kuwa ''kaajiwa'' kifua??
ReplyDeleteHahahaaaaaaa me sina lakusema about make up uvaaji na keki ankal nakuaminia kwa minuso huchezi mbali hongera fide ila bado unahitaji shule about make up na uvaaji
ReplyDeleteAnkal, mimi nataka kujua tu, kwani humu huruhusiwi kumfunda mtu?
ReplyDeleteHalafu, mimi mshamba, kwani modo maana yake nini? Kuvaa vibaya? Kuacha kifua wazi? Kupaka rangi mwilini? Au nini?
Huyu dada siku zote namwonaga kifua wazi, amefutika chakula cha mtoto pamoja kama nguo yenyewe hakupima mwenyewe!! Au huwa anaazimaga kwa jirani ambaye kifua chake ni kidogo?
Ninyi mafungi rangi (sijuwi mnaita makeup)hamumsaidii kuwa aachane na rangi na aachane na hizo rangi tu?
Naamini kwa jinsi alivyo, akiwa natural atatoka bomba. Kaka Michuzi, mwambieni ajaribu halafu mpige picha na kuweka ktk blog hii. Utaniambia.
Wengine tumejaliwa kusoma figure za watu na kuzipa mapendekezo jinsi kujipamba. Wakikubali, mbona wanarudi kutupa pongezi kwa ushauri.
Kila la heri Fide, hepi bethidei tu yu.
Huyu Fide ana occupation gani, kwanini aanike matiti na mapaja yake hivyo kwenye blog? Hivi wadada mkivaa vizuri na kufunika izuri nyeti zenu (titiz, pajaz, takoz etc) mnafikiri hamtapendwa au kutamaniwaaa!!? Disgusting!
ReplyDeleteHeee Kazi kweli kweli huko Bongo! Kwanza ngoja nianze na positive comments kwani nyie dada zetu mu warembo sana without a doubt.
ReplyDeletesasa jamani makeup hivi mnajifunzia wapi kuzipaka? ama ilimradi kwani mnasambaza tu machhoni midomo na mashavu yaani inasikitisha ambavyo mnachemsha! na clevage yaani toka nguo za low cut ziziduliwa kina dada vifua nje nje jamani muangalie basi hata ma celebrities wa ulaya/Marekani wanavyo vyaa ndo muige kwani mnajidhalilisha saaanaaaaaa.
jamani huyu dada hiyo make up haifai, dada kwenye somo la make up, less is more... duuuh
ReplyDeleteduh! niliacha hizi pix bahati mbaya
ReplyDeletekurudi nikamkuta analia eti katishwa na pix za huyu mrembo!
Mh! mi nahisi fide hana boy frendo
asingekuwa anamruhusu kuvaa na kujiremba kikatuni hivi..
Happy birth day mwana u look like miss Eliot i love u mwaaaaaaaaaah big kiss to you
ReplyDeleteHUYU FIDE ANAHITAJI KURUDI NYUMA NA KUMKUMBUKA MUUMBA WAKE.
ReplyDeleteHongera Fide, Mungu azidi kukuweka uwakilishe vizuri katika fashions
ReplyDeleteRangi nzuri ya nguo.
disminder.
Huyu mtu anatisha jamani...lol
ReplyDeletejamajamajama lol penye ukweli tuseme anko ulipendeza sana.sasa siumpeleke na huyo mzaliwa kwenye kitengo cha mavazi....yani bado nacheka huyo alompamba mzaliwa anahasira naeee au?ndio nini jamani nanyie wapembeniyake hata kumshauri mwenzenuu mnasherehekea alivyonangika au lol but any way non of my business let me say happy birthday mdada
ReplyDeleteFidel anaitaji ushauri nasaha kuhusu mavazi... haipendezi mwamamama mtu mzima kama yeye kutuvalia nguo za ajabuajabu wakati sio utamaduni wetu sie watanznia. JAna umesheherekea siku yako ya kuzaliwa ujue kuwa sio mtoto tena wewe ni mtu mzima na kioo cha jamiii
ReplyDeleteJaribu kujirekebisha kuhusu mvavi angalia wnawake wenzio waliokuzukuka wote wamwvbaa kuistaa kusitiri mii yao.
MICHUZI USINIBANIEE ITOW KAMA ILIVYO PLS!!!!!!!
Fide badilika, natumaini unasoma comments za wadau, kwa kweli unatisha umbo lako na mavazi pia makeup hazijakukaa vema, badilika. HAPPY BDAY TO U.
ReplyDeleteFide kwa umbo lako ulilojaliwa na Mwenyezi Mungu kama ungebadilika na kuvaa mavazi ya heshima ungependeza sana mwana dada! Jaribu kuangalia akina mama wenye maumbo makubwa jinsi wanavyopendeza wakivalia vizuri, hasa ukichukulia kuwa ilikuwa birthday ambayo ni siku maalum kwako na bado unakubali picha zisizo na maadili kuletwa kwenye blog ya jamii - shame on u!
ReplyDeleteUtawafundisha nini wasichana wanaochipukia ili waige kwako kuvaa nguo za kuonyesha matiti, mapaja na kujipaka marangi ya ajabu ajabu mpaka sura inakuwa kama kinyago fulani. Badilika bibie umetudhalilisha sana kina mama.
huyu dada ni noma!duh may be ndio uniqueness yake n that what make her to be celebrity maana mh!kazi kweli.
ReplyDeleteMimi nina hoja na huyo Mdau wa New York...hilo Shuka kulikoni??? kuna fashion na sehemu zake...ila hilo shika baba....am sorry!!
ReplyDeleteNdio NYC ni fashion mecca ila mambo mengine hayatufai. Mussa ...puh-lease!!
Sijui ni macho yangu! Kama kafanana na yule 'Bepari wa Kihaya' kwenye Orijino Komedi!
ReplyDeleteepi besdei!
kaka michuzi vipi mambo?mimi nina swali kukuhusu wewe!vipi kwani mai waifu wako yeye huwa wapi unapo kuwa kwenye minuso hii yote?mwe jami tumuonepo kidopo hapo kwenye libeneke!!!!
ReplyDeleteOoh dam shit,Fide u look so cute and unique,
ReplyDeletehappy b'day to youX4
happy b'day dear Fide
Your dress code attracts investors- i want to invest onto you!
How old are you? Ur age aint but a number,big up Fide
mdau Kisenga
Nadhani ndo fungu jema alilochagua, hapo cha cha. Khaaaaaa!!!!!!! Ila ubadilike bwana ukiwa na shape hata kwenye baibui tutaliona tu
ReplyDeletegive fide a break nyie! kwani shida yenu nini, kavaa alivojisikia, hamtaki, angekua lady gaga mngesifia, mmezidi, kazi kuponda wenzenu ili mjisikie vizuri, kwani mmeambiwa yuko kanisani hapo? go fide do what u please don even give a f%$#! ur pretty girl, happy birthday.
ReplyDeleteJamani kamechisha rangi ya keki na ya usoni kwani kuna mbaya gani??? lazima fashonista uweke stetimenti wengine waige
ReplyDeletehiii... huyu dada vipi??? ankal mwambie ajistiri basi....
ReplyDeleteMwana uliyevaa kikoi usije ukaenda uwanja wa mpira uswazi ukaambiwa ujifunze tikitaka wakati ndani mtupu...ohoooo, watoto watakucheka...
ReplyDeletekatika comments zote ilionichekesha ni ya 04:37.
ReplyDeleteyani nimecheka sana eti" hiii huyu dada vipi ankal mwambie ajifunike short msg and funny."
Mi huo mtindi tuuuuuuuuuuuuuuuu!!! Mashallaaaah!
ReplyDeleteKuondoa make up na uvaaji wako,Dada Fide wewe ni mwanamke mzuri wa asilia(ambaye mwanamke yoyote anatamani kuwa kama wewe). HAPPY BIRTHDAY! Mimi uk.
ReplyDeleteAstaghafirullaaaaaah ... hivi huyu mama kujipaka rangi na kukaa uchi ndio nini !!! sijawahi kuona jini ila i'm sure she looks like one huh .... halafu hakomi tu maoni yote haya ... i think anatumia ujinga huu kupata umaarufu .... yaani aibu tupu
ReplyDeleteankal hivi hizi post zitatusaidia vipi watanzania !!! may be sijui lengo la blog hii ... tueleze basi
ReplyDeleteUkitaka kujua kuwa huyo dada kapinda check anavyofakamia hiyo keki.Go Fide Go, Go my baby.
ReplyDeleteMamaaaa!! mi namuogopa bana michu toa hizi pix pls..
ReplyDeletedah! anatisha!!
mwanamitindo maarufu!
ReplyDeleteyani ninacheka adi sasa HAHAHAHAA
ReplyDeletewengine mashuka,wengine mashati sijui kitambaa gani-michuzi...
keki rangi yake ipo shughuli...
uyo muhindi kipara...kazi pevu
titiz na pajazz la Fide...mbombo ngafu
basi tu kila kitu burdani
haaaaa dunia hii,turefushe maisha tu
hii kifaa kimerudi tena kilikula konoz na michu long time,naye michu anakipendaaa
ReplyDeleteukimbeba huyu Fide kama wale wachina wanaokatana madenda si atakushusha mshipa?
ReplyDeleteMdau,
Boston
Mwanamitindo wazimu mtupu. No wonder huwa hatukuoni umeandamana na mwenza wako. Muda umekutupa mkono Fide, hayo mambo ya kuacha kifua wazi waachie teenages....GROWN UP
ReplyDelete