Michuzi hebu kula linki nimekutasfiria toka
kimatumbi kuwa kiinglishi. kama utaridhika naomba kazi hivo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. HUYU NAYE SIJUI HII NDIO KATAMBUWA LEO? MBona kila sehemu unaweza kufanya hivi ukiwa Google?.

    ReplyDelete
  2. du. mambo ya kuvunjana mbavu jioni jioni hatari. nimecheka mpaka kicheko cha kesho. sikuwahi kuijaribu hii. du!

    michuzi = sauce
    tabia nchi = character country

    ReplyDelete
  3. hehehehe...

    "Linki let sauces I eat out kutasfiria
    kimatumbi kuwa kiinglishi. Matumbi that kiinglishi. kama utaridhika naomba kazi hivo be satisfied if I work hivo"

    ReplyDelete
  4. hata hivyo hizi tafsiri za google zinapotosha sana.

    ReplyDelete
  5. Tafsiri hii ya Google ni nzuri ingawa kuna wakati inakwama. Hebu tazama tafsiri za maoni ya wadau uone. Utacheka sana!

    ReplyDelete
  6. What on earth? Even if Google could do this, I think the geezer needs some industrial-strength English tuition!

    ReplyDelete
  7. Sasa ndo amefanya nini wakati hata he or she ameshindwa kuzitumia! Ankal huyo hana jipya bwana tafadhali mmpe rukhsa ya kusoma blog tu yako maana hana jipya hata nukta.

    ReplyDelete
  8. Wewe mtoa mani wa kwanza acha ushamba....watu wengine tulikuwa hatujui hii kitu, nimecheka sana yaani...Good Job

    ReplyDelete
  9. Ankal huyu mkalimani wako anataka kutuchunganya, kwani tumemwambia tunataka kujifunza kingereza, na nyinyi hamwishi kuwapa hadhi hao wenye nyengine kwani hatuwezi kuwa kitu chetu kwa lugha yetu tu. Kwanza hata tafsiri yenyewe hajafaulu vyema au kuna maneno mengine hayajui uzungu wake mf, Nkya Apata, abiria kasusa nk ambayo tafsiri yake amepotosha uasilia wake. NAOMBA TUMSAMEHE HANA HOJA YA MSINGI YA KUTUOMBA DEL HII SISI WADAU. MDAU WA ZENJ

    ReplyDelete
  10. Huyu anayetafsiri kanipa raha. Watu tunashinda tumenuna bila wa kuongea naye. Asante kama Michuzi kuwapa watu nafasi kutuchekesha. Nimecheka mpaka nikalia.

    ReplyDelete
  11. Mnaomshambulia mdau aliyeomba kazi hamjaelewa nia yake. Alikuwa anaburudisha tu...na kweli ameleta raha.
    Kwenye tafsiri ya habari ya filamu neno circumcision sijui limetokea wapi ghafla. Bila shaka google wanadhani mahiri ni sawa na tahiri...kazi kweli kweli.
    Pamoja na hayo haka ka translator huwa kanasaidia walau unapata msingi wa habari mengine unajitungia.

    ReplyDelete
  12. He followed the footsteps of ankal, and eat vekesheni without good intelligence.
    hapa akielekea Liberia majuzi here he turned Liberia ŝanĝoj

    ReplyDelete
  13. Ni burudani kwenda mbele.

    ReplyDelete
  14. Ebwana eee!
    Nimecheka sana kwa Bandiko la Movie ya Ray Kigosi. Inasomeka hivi... Here is the circumcision of the film actors here, Bongo, and Dr. Irene Uwoya chain they adopt one of the film of its kind itakayokuwa called MR DREAMS, which inashutiwa company of RJ Productions Mahiri led by Ray aka The Greatest.
    ...Sasa mambo ya kutahiri yanatoka wapi hapo?
    Sauce Globu Hoyeeeeeeeeeeee!

    ReplyDelete
  15. what is this??
    hahahahahaaaaaaa uwiiiii

    ReplyDelete
  16. mijitu mingine mijinga sana ndio maana nilisema sio kila kitu ni cha ku comment,...jamaa alitaka kutuchekesha watu wanamshambulia...we unafikiri mtu anaomba kazi hivyo?...kaa kimya kama huna comment...asante mdau kwa kunichekesha Muhidini (sauces- plural) (mchuzi- singular)

    ReplyDelete
  17. Baba UbayaMarch 03, 2010

    kinda funny!!!walau umefurahisha wa2 kwa style tofauti.msimshambulie mdau kwa chuki zenu binafsi.naamini kaileta hii kwa lengo la "vunja mbavu".wengi wanajua juu ya hayo mambo ya google lkn hizi tafsiri zima za blog ya jamii zimeniacha hoi.
    teh teh teh!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...