leo hi hepi besdei ya kuzaliwa Mdau mkuu wa libeneke la Mtaa kwa Mtaa Othman Michuzi jr nasi tunamtakia kila la kheri na kumwambia tuko PamoJah nchi hii ya Jah Kaya
akifuata nyayo za ankal, naye hula vekesheni kama hana akili nzuri.
hapa akielekea Liberia majuzi
Ankal akiwa na ankal wake Othman kwenye mnuso.
Ankal anafurahi mno kuona ankal wake anaendeleza libeneke
mtembelee
BOFYA HAPA




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. sasa huku ndiyo kufurahisaha kadamnasi au ndiyo kuanza kupotosha lugha. maana sioni logic ya kuandika neno pamoja na kuongezea herufi H,PAMOJAH. AU kuita nchi ya jakaya nchi ya JAH kaya,maana neno JAH linamaana tofauti kabisa,na neno kaya pia .
    anyway lakini fikirini kwanza wapi tunakwenda pamoja na kuwa tunafurahisha. huenda ndiyo lugha inakuwa hivyo!!hahaha

    ReplyDelete
  2. nje ya mada: ile youtube ya mr II vs ruge umeiondoa? dawa ya jeuri ni kiburi. jamani body language.

    ReplyDelete
  3. Ah Mzee wa Kwa Mtaa kwa Mtaa Kawakilisha Michuzi kwa Ankal au Burooooo Michuzi Hepi BAsidei Asumani Michuzi. Pazi

    ReplyDelete
  4. Ankal naomba usibanie vipi umetowa habari ya Ruge sisi kama wadau wako tunapenda ujieleze sababu hii imetusikitisha wengi inaonesha vipi Ruge anatawala soko hili plz usibane plz plz plz na wadau mnaonaje hili suala. Seif.

    ReplyDelete
  5. Ankal Othman umependeza, sasa inabidi uoe sasa au unasemaje mazee ......... Ni kweli ulikwa unaenda Liberia au ni Ankal Michuzi mkubwa anatudanganya hapa????

    ReplyDelete
  6. Seif wanasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Mtego wa panya mbona watahadhirika wengi? Mr II tuko pamoja ingawa sie hatuna nembo!

    ReplyDelete
  7. hakuna anayetaka kuwa Daktari huko kwenu.wote picha tu.

    ReplyDelete
  8. Othaman hongera san sana kwa siku kuu ya kuzaliwa,tunakutakia afya njema na maisha marefu.
    wadau FFU

    ReplyDelete
  9. Duh Mkuu unasheherekea angani. hiyo ni kali. HBB from me KILI,BG

    ReplyDelete
  10. jamani wadau eeh nendeni kulee jiachie blog kwa misupu junior kuna picha ya us blogger kwa wale wanaotaka kumjua mkuu wa libeneke nenda kainyofoe ile taswira kule ilete huku kijiwe kichangamkeeeee

    ReplyDelete
  11. Ankal hii familia wote ni ma bloggers, inabidi tuangalie family tree huenda ankal ukawa baba yangu mdogo manake na mimi ni blogging 24/7.

    (US Bloggers)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...