ingekuwa ni jioni tungesdema dereva ambaye alikuwa kapakia jamaa anaewahi happy hour new africa hotel, walipofika kona ya posta ya zamani dereva alilaza na kujikuta kaikosa barabara...
lakini hii ni baada ya mdau kukoswakoswa na daladala lililochomekea na kupita kusiko kwake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. brother michuzi jamani tuweke fair comment kwenye picha na hapo wenzetu wamepata ajali iliyosababishwa na daladala.
    Hakuna happy hour asubuhi yote hii.!!!!!..happy hour huanza saa 11;30 jioni mpaka saa 1;30.

    ReplyDelete
  2. Si ajabu daladala iliingia mitini baada ya tukio. Madereva wetu wa kichina hawa...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...