Jana tulikuwa na furaha ya kushiriki kwenye birthday ya Dada Riziki aishie mjini Rome. Tunamtakia maisha mema na mungu amlinde ili aweze kupulizima mishumaa mingi iwezekanavyo. Kwa picha zaidi mnaweza kuziona kwenye blog ya Jumuiya ya Watanzania Rome hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. happy birthday wifi yangu mmmmmmmmmm umependeza kweli italy akuongopi over new afraca jamani jimekumiss sana

    mariam UK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...