Home
Unlabelled
Hitma ya marehemu Balozi Daudi Mwakawago Boston, Mass
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi, Hao ni watoto wa Marehemu kuanzia kulia mwenye kanga nyekundu ni Lugudo Lulu, Imani na Mtage, poleni sana
ReplyDeletePøleni sana wafiwa.Utanzania ndio huu.Kwa kweli kuna imani kubwa ya ushirikiano,upendo.umoja ambao hakuna mataifa mengine yanaweza kutufikia.Watanzania tudumu kupendana na kufarijiana kwenye majonzi,shida na raha.baba wa Taifa(RIP)umetuachia urithi mkubwa wa kutobaguana ki dini.kabila nk.Mola amlaze peponi Ameen.Inshallah mola atawapa subra wafiwa.
ReplyDeletePoleni Kiye,Imani,Lulu na Tage kwa msiba wa baba yetu, Inshallah mwenyezi mungu atawapa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu. Tumepoteza mzazi ambaye hatutaweza kumsahahu kwa busara zake and ukarimu wake i always felt like home wakati wowote ule nilipopata muda wa kusimama nyumbani kwenu pale New York nikiwa hapo kwa matembezi. Tunamwombea mungu amlaze mahala pema peponi, Amina. Inshallah tutawaona tena Jumamosi kwa balozi Mahiga kwenye shughuli ya kumkumbuka balozi wetu, baba yetu mpendwa tuliyekaa naye na kushirikiana kwenye kila jambo la raha na shida. Poleni sana ndugu zangu na mama yetu tunamwombea mungu ampe nguvu aweze kuendelea kutunza familia.
ReplyDeleteKazi ya Mungu haina makosa ila ni kushukuru kwa kila jambo atuletealo kila siku,nawapa pole watoto wote (Gudo,Kiye Imma na Tage)na mke wa marehemu,kwa msiba lakini kubwa tunawaweka katika sala zetu za kila siku na Mungu awape nguvu na upendo na hasa katika kipindi hiki kigumu.
ReplyDeleteR.I.P Mzee Mwakawago. Your kindness will always be remembered.
ReplyDelete