Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Huyo jamaa atakuwa sio riziki anatangaza biashara yake.Kwenye mchezo wa gofu kuna mashimo 18 sasa yeye anatangaza lake la 19 hahaha!

    ReplyDelete
  2. tene hii ni nzuri sasa kuiga kwa taifa la kuigaiga mambo kama letu. Haye tena mabrozoyooooo.... igeni na hii ili mtuvutie wawekezaji...

    ReplyDelete
  3. Michuzi mi ninachoomba tu ndugu zangu huko Bongo mjaribu kuiga na hii. Yaani ninafarijika sana kuona jinsi mnavyojitahidi kuiga vitu vya majuu mfano wa flava na ulimbukeni kibao. Tafadhali jamani naomb mjaribu kuiga hii, yaani ni ujiko sana.

    ReplyDelete
  4. Oyaa wabongo kazeni butidili hilooo. Tena pale mnazi mmoja kutembea uchi kwenye matasha makubwa dili kinoma, tafadhali jamani naomba muige kama wanavyosema wenzangu hapo juu.

    ReplyDelete
  5. dah ee bwana michuzi waambie kina flava boyz wachangamkie hiii tenda, mali sana kwani inaleta faida katika taifa letu. Jamani tuzidi kuiga.

    ReplyDelete
  6. Lol! hii kali sana, has made my day hahahahaaa

    ReplyDelete
  7. LOL! Mchezo wa STREAKING umerudi nini?

    ReplyDelete
  8. Wa TZ wataiga sasa hivi. Hasa watoto wa kike

    Hapo mambo yatakuwa bomba mambo hadharani

    ReplyDelete
  9. Wabongo waige nini hapo!!. Hao Wasungu si Wameiga kule kijijini ya kwetu Endananyuki - Longido. Sii tulikuwa tunachungaga ng'ombe namba hii. Yaani ile Filimbi yako ya pande hiyo kwe mbele iko wasi kabisa

    ReplyDelete
  10. michuzi weka habari za maana za mapapa watu na mafisadi

    nahamu sana ya kumwaga cheche zangu kupitia hapa

    ReplyDelete
  11. maajabu ya dunia michu michu,yakhe mkuu, mbona sikuhizi nabii yohanna John Mashaka amwagi nondozoooozzzzzz, tumemiss sana mijadala yake kwa maana anaamsha na kuchangamsha jamvini so kawaida mkulu wa kaya, mlete nabii, anagalau na kaatiko kadojo kamoja libebe tu saini yake ya joni mashaka na mungu ibaliki tanzania. au ndo nabii mwenyewe huyo anayefukuzwa, ameenda golfu badala ya kuelemisha jamii. mashaka mimi ni mkuu wa kijiwe chako, njoo basi mara moja, nakusublia kwa usongo

    ReplyDelete
  12. Jabaribu ufe pale Uwanja wa taifa FFU watakutemmbezea kichapo na wakikutia ndani kutoka lazima ulipe....majuu mtu kama huyo hawampigi wanashika wanampakia kwenye police car mpaka kwa psych doctor kumpima then wanamkata kwenye payroll yake fine na kumweka kwenye sunmagazine

    ReplyDelete
  13. Washkaji mnakera sana comment zenu! kila kitu 'huko bongo wataiga' wangapi mpo huko mliko na mmeshaiga mambo kibao? try to have positive mtazamo na nchi yenu!

    ReplyDelete
  14. hii ukiifanyia zanzibar ndio itanoga zaidi

    ReplyDelete
  15. dual citizenship....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...