kiplefti yetu mpya ya mtaa wa azikiwe avenue mbele ya posta mpya inaendelea kupiga miayo ikisubiri kuzinduliwa aidha na JK ama Pinda

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. dar ni moja ya mji mchafu unao ongoza ulimwenguni!!!!!katikati ya jiji kuna hali hiyo,hivi hiyo nchi kuna viongozi kweli???

    ReplyDelete
  2. Hapo ndo unapojua jua kuwa baadhi ya watendaji wa wizara zetu ni vimeo, we one tu tena katikati ya jiji ila Mh. Prezdaa akitakakukatiza eneo hilo patakuawa mukidee tena kinoma, mi naona huyu waziri na watendaji wake wote wafukuzwe kazi, na waache kusubiri makato yetu mwisho wa mwezi.

    ReplyDelete
  3. YALIYOMO YAMOMarch 18, 2010

    hivi viplefti vimekuwa vingi sana siku hizi.

    dar kwali inapendeza. kama hapo mbele kidogo ya hiyo kipleft upande wa SHELI huwa mfereji wa maji SAFI unabloku inatokea harufu nzuri ya marashi.

    sijui hizi pesa za paking kule koko bichi wanazipeleka wapi? namwomba mjomba awe anazunguka zunguka town ili kuzindua hizi developmenti. si mliona ile bara bara iendayo lidaz? sasa hivi imewekwa na jamvi.

    YALIYOMO YAMO!

    ReplyDelete
  4. Ni upande wa 'Petrol Station' - Kituo cha mafuta. 'SHELL' ni jina la Kampuni. Na si kila kituo cha mafuta ni 'SHELL'. 'Nishushe Sheli!' Agggrrrrh!

    ReplyDelete
  5. Duuh! sijui utaratibu wa bongo ukoje kwa mtu kama Prezdaa kufanya operation za siri kupita mitaani ajionee maendeleo anayojivuni. Kwa wenzetu Kigali, Prezdaa wao anafanya visits za kushtukiza na anaride kwenye private car - tinted glasses bila ving'ora wala misururu then anarudi ikulu na kuwaita watendaji wajieleze...sijui bongo ni vipi! Inasikitisha, system haiko serious hata kidogo - politics kwenye kila kitu

    ReplyDelete
  6. wewe anoni tunajua usitusahihi she, kwani aliyesema "SHALL" NI NANI? NIMEANDIKA SHELI.

    unatakiwa ujue humu hatuhangaiki na kiswahili/lugha bali tunadili na masuala ya kitaifa. ndo maana lugha za humu watu hawamaindishi Mfaro mtu anaandika daraja la selenda briji badala ya daraja jembamba au slender bridge.

    jadili mambo ya kitaifa kijana! ebo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...