Home
Unlabelled
JK aomboleza kifo cha Mama Mahundi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
RIP Mwalimu wangu mpendwa Clara Mahundi! Huyu mama nakumbuka alikuwa ndio mwalimu wetu mkuu pale Upanga Primary School(LY 94) na alichangia sana katika kunirekebisha tabia. Kwani nilikuwa ni mtoto mtukutu sana, na kama si juhudi zake na walimu wengine pale shuleni, basi huenda ningekuwa Segerea leo hii. Poleni sana wana familia.
ReplyDeletePoleni sana kwa msiba wa mama. Namkumbuka mama huyu alikuwa mstaarabu sana. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Poleni sana Fadhili na wengineo. ni mimi mdau wa oysterbay hospital
ReplyDeletePoleni sana kina John Mahundi, mama alikuwa mtu mkarimu sana. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Ameen.
ReplyDeleteJamani hata siamini kusikia aliyekuwa Mwalimu wangu mkuu Upanga Primary School. It's being a longtime, sijapata kumsikia wala kuonana nae tangu nilipomaliza 1993. Leo hii naona picha yake na kusikia amefariki. Mungu ailaze roho yake mama, mwalimu mpendwa wetu mahali pema peponi, Amin. Alikuwa mwalimu mkuu mpole na sijapata kuona lakini alitumia busara kurekebisha nidhamu na wala si kwa kutumia fimbo au ukali, jamani.
ReplyDeletePole sana John mapenzi ya Mungu.
ReplyDeletepoleni sana kina john na grace. nimesikitika sana mwalimu wangu wa Upanga primary kututoka. alikuwa na upendo sana, alinipenda na kunipa zawadi sana ingawa nilikuwa mtundu sana.mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
ReplyDeletemaulid
pole sana john na familia nzima. Aminatha.
ReplyDeletePOLE SANA JK KWA MISIBA
ReplyDeletePoleni sana wanafamilia wote. Alikuwa mama yetu mpenzi, ametulea katika maadili mema sana Tutakukumbuka daima!
ReplyDeletePOLE sana Fadhili,grace,John,Mzee Mahundi.
Mgaza Kossey
Poleni familia ya Mahundi ni wakati mgumu sana mbele yenu lakini tunaomba Mungu azidi kuwatia nguvu. RIP Mama.
ReplyDeleteToka kwa familia rafiki