JK na Balozi wa China nchini Bwana Liu Xinsheng(watatu kushoto) wakiweka udongo katika jiwe la msingi kuashiria kuanza rasmi kwa ujenzi wa Taasisi ya tiba ya moyo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili MNH leo asubuhi.Wengine katika picha ni Waziri wa Afya Profesa David Mwakyusa(watano kushoto) na kuli ni Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Bwana Adolar Mapunda, wapili kushoto ni kiongozi wa ujumbe wa Jamhuri ya watu wa China Bwana Sun Liang. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Masikini Dr. Masau sijui atapewa kitengo hiki au zengwe litaendelea kwa kugoma kuwakatia cha juu wanene wa wizara ya afya

    ReplyDelete
  2. Masikini Dr. Masau sijui atapewa kitengo hiki au zengwe litaendelea kwa kugoma kuwakatia cha juu wanene wa wizara ya afya

    ReplyDelete
  3. Jengo la Taasisi ya Moyo tunasubiria wachina waje watujengee!!
    What a lame!

    ReplyDelete
  4. Sasa na ile ambayo Mengi anaijenga moshi hatima yake itakuaje?

    ReplyDelete
  5. wachina wanatusaidia sana tokea enzi za kupata uhuru , na bado tunakandia vitu vyao kwa kudai feki , sasa semeni na hilo jengo feki la kichina , HAMNA SHUKRANI ...

    ReplyDelete
  6. Sasa km JK na huyo Balozi ndio wameweka hilo jiwe la msingi, hao mafundi ujenzi walifanya kazi gani ? Inatulazimu tubadilishe lugha sasa, hao maexcellency wamelikuta jiwe lishawekwa na mafundi wao wamelifunua tu. Hizi ni zama sasa za kurecognize kazi za watu.

    ReplyDelete
  7. FEKI TU, WAO NDO WANAOJIARIBIA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...