Home
Unlabelled
JK na balozi wa China waweka jiwe la msingi wa jengo la taasisi ya ugonjwa wa moyo muhimbili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Masikini Dr. Masau sijui atapewa kitengo hiki au zengwe litaendelea kwa kugoma kuwakatia cha juu wanene wa wizara ya afya
ReplyDeleteMasikini Dr. Masau sijui atapewa kitengo hiki au zengwe litaendelea kwa kugoma kuwakatia cha juu wanene wa wizara ya afya
ReplyDeleteJengo la Taasisi ya Moyo tunasubiria wachina waje watujengee!!
ReplyDeleteWhat a lame!
Sasa na ile ambayo Mengi anaijenga moshi hatima yake itakuaje?
ReplyDeletewachina wanatusaidia sana tokea enzi za kupata uhuru , na bado tunakandia vitu vyao kwa kudai feki , sasa semeni na hilo jengo feki la kichina , HAMNA SHUKRANI ...
ReplyDeleteSasa km JK na huyo Balozi ndio wameweka hilo jiwe la msingi, hao mafundi ujenzi walifanya kazi gani ? Inatulazimu tubadilishe lugha sasa, hao maexcellency wamelikuta jiwe lishawekwa na mafundi wao wamelifunua tu. Hizi ni zama sasa za kurecognize kazi za watu.
ReplyDeleteFEKI TU, WAO NDO WANAOJIARIBIA
ReplyDelete