Wajumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) ya Baraza la Wawakilishi la Zanzibar ilifanya Kikao na Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) leo hii. Kamati ilikuwa ikifuatilia hoja mbali mbali zilizowasilishwa SUZA kwa ajili ya kupatiwa ufafanuzi na vielelezo.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...