KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI, NCHINI TANAZANIA, WAKATI WENGI WA AKINA MAMA WAKISHEREHEKEA KITAIFAI SIKU HII HUKO TABORA JUMATATU TAREHE 8/03/2010, WANAWAKE WOTE WAKIWEMO WAJASIRIAMALI WA MKOANI DAR ES SALAAM, WANAAZA KUISHEREHEKEA SIKU HII, JUMAMOSI HII TAREJE 6/03/2010 NDANI UKUMBI WA LAPRIMA KATIKA USIKU WA MWANAMKE “LADIES NIGHT” KILA MMOJA AKIWA NA MWENZA WAKE HATA MPENZI WAKE, KWA NYAMA CHOMA NA VINYWAJI HUKU RUMBA LIKISAKATWA KWA STAHA NA KIUTU UZIMA, LIKIONGOZWA NA KING KIKI PAMOJA NA WAZEE SUGU , KIKIPEPERUSHWA KIATAMBAA CHEUPE KWA SHILINGI 5,000/- TU.


AKINA MAMA WOTE WAJASIRIAMALI NA WAPENZI WENU, TUNAKUTANA LAPRIMA JUMAMOSI HII TUANZE KUSHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.


TANGAZO HILI LIMELETWA KWENU NA MRATIBU WA KUWAWEZESHA WAJASIRIAMALI WNAWAKE WANAOFADHILIWA NA SHIRIKA LAKAZI DUNIANI (ILO)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...