wenye kuendesha biashara ya usafiri wa vibajaji
wakae mkao wa kula maana toleo jipya ndiyo limeshatoka, hivyo changamkieni
inapendeza zaidi. za kijani zipo pia
viti maridadi



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Bajaj mayai hiyo, poa sana.

    Awali mimi nilikuwa navipotezea. Sasa itabidi nivichangamkie. Gari kubwa kwa foleni na mitaa ya hapa jijini itakuwa haina maana.

    Aisee, kali mmmh!!

    ReplyDelete
  2. ankal mie hizo siti belti tu wamenivunja mbavu sana, yani nimependa walivyokumbuka kuziweka maana hawa madereva wa bongo wehu sana.


    Sasa kilichobaki ni kwamba kikipinduka unaenda nacho tu hakuna kurushwa nje kama zamani hahahaa ahahaaa

    bongo tambarareeeeeeeeeeeeeeeeee


    Mdau,

    Eddymak

    ReplyDelete
  3. milango je?

    ReplyDelete
  4. Tatizo mie Bajaji nakiona kama hakipo "stable" sana, Manake kama hicho kipya wangefanya kikawa stable kwa kweli kinaonekana ni usafiri tuu mzuri hasa mji wetu wenye foleni, ila viwe vinatumika kwenye barabara za mitaani na sio katikati ya mji isije ikawa kero badala ya starehe.

    ReplyDelete
  5. usiseme "kibajaji tolo jipya" sema "KICHENGE TOLO JIPYA". naamini neno "TOLO" ulilolitumia ni lugha ya kikwenu ukimaanisha "TOLEO"

    ReplyDelete
  6. uchafu tu kwanza hizi bizaa za wahindi tusiwasapoti wanachukia waafrica sana

    ReplyDelete
  7. Mbona hakuna side mirrors?

    ReplyDelete
  8. zinapendeza zaidi zikishaingia uvunguni mwa FUSSO!!!!!

    ReplyDelete
  9. wa hindi hapo hao mnao wataka na sisi tuwafukuze kwetu mnapenda bajaji zao!!wewe mnazani mkiwafukuza mtauziwa kweli

    ReplyDelete
  10. hawa wahindi kwa nini wasidesign matairi mawili yawe mbele na moja liwe nyuma kama si kuua wabongo tu

    ReplyDelete
  11. Ngoja kifike kwa fisadi wa bajaji nchini huone atakavyowauzia watanzania. Utasikia kinauzwa milioni 8 na hakuna mhusika wa tume ya walaji(consumers )atakaye hoji uhalali wa bei hiyo. We vibajaji vilivyopo eti vyauzwa milioni4? Ukitaka kununua tairi ni bei kuliko tiri ya Cresta tena unaambiwa ukitaka nunua hutaki acha!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...