Home
Unlabelled
kibajaji tolo jipya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bajaj mayai hiyo, poa sana.
ReplyDeleteAwali mimi nilikuwa navipotezea. Sasa itabidi nivichangamkie. Gari kubwa kwa foleni na mitaa ya hapa jijini itakuwa haina maana.
Aisee, kali mmmh!!
ankal mie hizo siti belti tu wamenivunja mbavu sana, yani nimependa walivyokumbuka kuziweka maana hawa madereva wa bongo wehu sana.
ReplyDeleteSasa kilichobaki ni kwamba kikipinduka unaenda nacho tu hakuna kurushwa nje kama zamani hahahaa ahahaaa
bongo tambarareeeeeeeeeeeeeeeeee
Mdau,
Eddymak
milango je?
ReplyDeleteTatizo mie Bajaji nakiona kama hakipo "stable" sana, Manake kama hicho kipya wangefanya kikawa stable kwa kweli kinaonekana ni usafiri tuu mzuri hasa mji wetu wenye foleni, ila viwe vinatumika kwenye barabara za mitaani na sio katikati ya mji isije ikawa kero badala ya starehe.
ReplyDeleteusiseme "kibajaji tolo jipya" sema "KICHENGE TOLO JIPYA". naamini neno "TOLO" ulilolitumia ni lugha ya kikwenu ukimaanisha "TOLEO"
ReplyDeleteuchafu tu kwanza hizi bizaa za wahindi tusiwasapoti wanachukia waafrica sana
ReplyDeleteMbona hakuna side mirrors?
ReplyDeletezinapendeza zaidi zikishaingia uvunguni mwa FUSSO!!!!!
ReplyDeletewa hindi hapo hao mnao wataka na sisi tuwafukuze kwetu mnapenda bajaji zao!!wewe mnazani mkiwafukuza mtauziwa kweli
ReplyDeletehawa wahindi kwa nini wasidesign matairi mawili yawe mbele na moja liwe nyuma kama si kuua wabongo tu
ReplyDeleteNgoja kifike kwa fisadi wa bajaji nchini huone atakavyowauzia watanzania. Utasikia kinauzwa milioni 8 na hakuna mhusika wa tume ya walaji(consumers )atakaye hoji uhalali wa bei hiyo. We vibajaji vilivyopo eti vyauzwa milioni4? Ukitaka kununua tairi ni bei kuliko tiri ya Cresta tena unaambiwa ukitaka nunua hutaki acha!
ReplyDelete