kikwangua anga hiki kipo kati ya wizara ya mambo ya ndani na barclays house zamani bushtrekker, usoni pa movenpick hotel jijini dar. kimeshafunguliwa na ofisi kibao zimo humo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Kweli picha zinaweza kukufanya upotee hata sehemu, mbona hili ghorofa alipendezi kama linvyoonekana kwenye picha. Iwe usiku, asubuhi hata mchana.

    ReplyDelete
  2. so what??watu tunafikiria tutatatua vipi swala la foleni wewe unatuletea mipicha inayoonyesha jinsi foleni itakavyozidi town centre,hili wangejenga nje ya mji ningewaona wanacare lkn hawa wanajali biashara tu si mazingira.

    ReplyDelete
  3. Asante Ankal!

    Hawa viongozi wa jiji inabidi waulizwe je, kabla kujengwa majengo kama haya, hivi wanafanya utafiti wa wa jinsi wanaweza kujizatiti kwa ongezeko la msongamano keulekea kwenye majengo haya?
    Au ndio shagala bagala tu...Bongo tambarare!!!

    ReplyDelete
  4. Ankal, Ndo hizi "Poor Planning" ambazo hatuzihitaji kwa Tanzania ya leo! Wanajenga majengo makubwa ya nini katikati ya jiji? Huku ni kuongeza msongamano wa magari na pilika nyingine zisizoisha katika jiji hili. Nilitarajia majengo ya sampuli hii kuwa maeneo kama Ubungo, Tegeta, Mbezi, Bonyokwa ama Bunju.
    Sijajua vijana wa mipango miji wanafanya kazi gani hasa!
    Ni mimi mdau mkereketwa wa maendeleo!
    idimi@jamiiforums.com

    ReplyDelete
  5. Maeneo yenyewe ya kujenga vikwangua anga hivyo yako wapi?. Kwa jinsi city centre ilivyobana nina uhakika hewa safi hapo kati itakuwa msamiati.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...